Karibu kwenye mafunzo ya Kotlin Programming language
Somo hili linatoa utangulizi wa lugha ya Kotlin, historia yake, matumizi yake, na faida zake. Pia tutajifunza jinsi ya kuandaa mazingira ya kuandika Kotlin na kujifunza sheria muhimu za uandishi wa lugha hii, ikiwa ni pamoja na namna ya kuandika maoni (comments), matumizi ya semicolon (;), na utaratibu wa kuandika code safi.
Katika somo hili, tutajifunza: Jinsi ya kutangaza na kutumia variables kwa usahihi. Tofauti kati ya val na var. Namna mbili za kutangaza aina ya data: moja kwa moja (type inference) na kwa mkono (explicit declaration). Sheria za uandishi wa majina ya variables. Njia za kuunganisha maandishi kwa kutumia concatenation na interpolation.
Katika somo hili: Tutajifunza aina mbalimbali za data zinazopatikana Kotlin. Tutatofautisha kati ya primitive types na reference types. Tutaelewa dhana ya "kila kitu ni object" katika Kotlin. Tutachambua mifumo ya data kama Array, List, Set, na Map. Tutajifunza jinsi ya kubadilisha data kutoka aina moja hadi nyingine (type conversion).
Katika somo hili, tutajifunza: Maana ya operator katika programu. Aina kuu za operators zinazopatikana kwenye Kotlin. Matumizi ya kila aina ya operator kwa mifano halisi. Kanuni ya order of precedence (mpangilio wa uzito). Tofauti kati ya == na ===.
Katika somo hili: Tutaelewa maana ya control flow katika programu. Tutaangalia jinsi ya kutumia if, else if, na else. Tutajifunza when statement (mbadala wa switch katika lugha nyingine). Tutaona if expression kwenye Kotlin. Tutaandika mifano ya maamuzi yenye masharti mengi.
Katika somo hili: Tutaelewa maana ya loop na umuhimu wake. Tutajifunza aina tatu za loop katika Kotlin: for, while, na do-while. Tutaona jinsi ya kutumia ranges na steps ndani ya loop. Tutaangalia break na continue (control flow ndani ya loop). Tutafanya mifano mingi ya vitendo.
Join thousands of students who are advancing their careers with BongoClass
Enroll Now