Course Curriculum
3 total lessonsUtangulizi wa mvc na umuhimu wake
Katika somo hili, tutajifunza: Maana ya MVC (Model-View-Controller) Kila kipengele (Model, View, Controller) kinachofanya Faida za kutumia MVC Tatizo la PHP ya kawaida bila MVC
Locked
Kuandaa mazingira ya kazi, project structure na usalama wa msingi
Somo lety la leo tutajifunza jinsi ya kuandaa mazingira ya kazi kwa kutumia Laragon, kupanga muundo sahihi wa MVC project, pamoja na kuanzisha mambo muhimu ya kitaalamu kama .env file na folder la kuhifadhi mafaili (uploads).
Locked
Routing katika MVC (Kutoka URL hadi Controller)
Katika somo hili utajifunza kwa kina jinsi mfumo wa routing unavyofanya kazi ndani ya MVC. Utaelewa jinsi URL inavyobadilishwa kuwa controller, method, na parameters — hatua kwa hatua hadi system inapoonesha page.
Locked
Lifetime Access
Learn Anywhere
Verify Skills
Get Started
Unlock Full Access
Join this course to access all video lessons, source code, quizzes, and track your learning progress.
Status
Enrollment Open
Total Students
1.2k+