Jifunze software muhimu kwa ajili ya kutumia HTML
Zijuwe kazi za HTML
Zijuwe Tg za HTML
Jifunze kutumia baadhi ya tag za HTML
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu atrributes na jinsi zinavyoweza kutumika
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuweka rangi kwenye faili la HTML
Hapa utajifunza kuweka pich kwneye ukurasa wa wavuti
Tuendelee na somo jinsi ya kuweka background image
Hapa utakwenda kujifunza jinsi ya kuweka link na mambo mengine ambayo yanafungamana na somo
Utajifunz akupangilia maandishi, pia utajifunza matumizi ya css
Katika somo hili utajifunza kuhusu font family na aina zake.
Katika somo hili utakwenda kujifunza mgawanyiko wa tag za HTML
Hapa utajifunza kwa kirefu sehemu kuu tatu za faili la html na kazi ya kila sehemu
Hapa utajifunza jinsi ya kugawa ukurasa wa html kwneye column 3
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuweka menyu kwneye ukurasa wa HTML
Katika somo hili utakwend akujifunz akuhusu utengenezaji wa html form
Katika somo hili utajifunza kuhusu jinsi ya kutumia media files kwneye html
Katika somo hili utakwenda kujifunz akutengeneza majedwali
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuweka orodha ya vitu mbalimbalia
Katika somo hili utakwenda kujifunz ajinsi ya kuweka iframe kwenye html
Katika somo hli utajifunz ajinsi ya kuweka object na utofauti wake na iframe
HUU ni utangulizi juu HTML graphics.
Katika somo hili utakwend akujifunz akuhusu matumizi ya id na class
Hapa utajifunza kuhusu HTML Div Element na matumizi yake
Katika somo hili utajifunz akw aufupi hatuwa za kupitia kutengeneza website kwa kutumia html
Kabla hujaanz akuandika code hizi ni hatuwa muhimu za kupitia
Hapa utajifunza mfano wa jinsi ya kuandika code kwa ajili ya website
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuhost website yako free.
hii ni website rahisi ya html
Join thousands of students who are advancing their careers with BongoClass
Enroll Now