Django Framework

Hii ni course ya Framework ya Django

27 Lessons
8 Topics
Certificate Included
R
Instructor Rajabu

Course Curriculum

27 total lessons
Django ni nini na inafanyaje kazi
Katika somo hili utakwenda kujifunza utangulizi kuhusu django, na jinsi ambavyo inafanya kazi.
Locked
Jinsi ya ku install Django na kutengeneza project na app
Katika somo ili utajifunza hatuwa kwa hatuwa za ku install Django, kutengeneza project na kutengeneza app
Locked
Kubadilisha landing page ya Django Framework
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kubadili ukurasa wa landing page wa Django na kuweka ukurasa tunaoutaka sisi.
Locked
Jinsi ya Kuongeza Kurasa Nyingine Katika Django View
Katika somo hili utakwenda kujifunza zaidi kuhusu Jinsi ya Kuongeza Kurasa Nyingine Katika Django View
Locked
Jinsi ya Kuunda Simple Navigation Menu Katika Django
Katika somo hili utajifunza Jinsi ya Kuunda Simple Navigation Menu Katika Django kwa kutumia template
Locked
Template Inheritance katika Django
Somo hili linazungumzia hatua ya kuunda navigation menu na kutumia template inheritance kwa njia ya kitaalamu katika Django.
Locked
Django Template tags
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhsu Template Tag nini na kazi zake. Pia utajifunza sheria za uandishi wake.
Locked
Kutuma Data kutoka View kwenda Template katika Django
Katika somo hili uatajifunza jinsi gani unaweza kutumia view kma logic kuuma data kwenye template
Locked
Data Manipulation katika Django Templates
Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kucheza na data kuzibadili kwa namna mbali mbali kwenye template
Locked
Kutumia Loops na Conditions katika Django Templates
Katika somo hili utakwend akujifunza kuchakata data kwa Kutumia Loops na Conditions katika Django Templates
Locked
Kutengeneza Fomu na Kuituma kwa Django Template
Katika somo hili utakwenda kujifunza kutengeneza htmk form pamoja na kuituma.
Locked
Jinsi ya kupokea na kuchakata fomu
Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kupokea na kuchakata fomu
Locked
Jinsi ya Kutumia JavaScript kwenye Fomu za Django
Katika somo hili tutakwend akujifunza kuhusi Jinsi ya Kutumia JavaScript kwenye Fomu za Django
Locked
Jinsi ya ku host project ya Django
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku host website ya Django. Hapa tutakwenda kutuma plaform ya pythonanywhere.com.
Locked
Database kwneye django
Katika somo hili utakwenda kujifunza vipi django inaweza kuwasiliana na database, utajifunza kuusu orm na model
Locked
Jinsi ya kutengeneza Model ya menu
Katika somo hili utakwend akujifunza ktengeneza model kwa ajili ya database table ya menu yetu.
Locked
Kutengeneza table na kufanya Migrations Katika Django
Katika somo hili tutajifunza jinsi Django hutumia migrations kuunda na kubadilisha tables kwenye database kulingana na models tunazoandika. Tutapitia maana ya migration, hatua za kuitumia, umuhimu wake, misingi ya makemigrations na migrate, pamoja na mfano halisi kutoka kwenye project yetu ya pybongo (app: menu).
Locked
Kutengeneza HTML Form na Django View kwa ajili ya kuingiza data
Katika somo hili tutaangalia jinsi ya kutengeneza fomu ya HTML kwa ajili ya kuingiza data kwenye jedwali la MenuItem, pamoja na kutengeneza view itakayopokea data hiyo na kuihifadhi kwenye database. Pia tutaunganisha form na URL route.
Locked
Jinsi ya Kusoma Data Kutoka Database kwenye Django
Katika somo hili tutajifunza namna ya kusoma data kutoka kwenye database kupitia Django ORM, jinsi ya kuzipeleka kwenye view, na jinsi ya kuzionyesha kwenye HTML template.
Locked
Kutengeneza Simple Admin Dashboard ya CRUD
Katika somo hili tutajifunza jinsi ya kuunda dashboard rahisi ndani ya Django ambayo itaruhusu mtumiaji kuongeza, kusoma, kuhariri na kufuta taarifa za MenuItem bila kutumia Django built-in admin, bali kwa kutumia HTML templates na views tulizotengeneza sisi wenyewe.
Locked
Kuongeza Data Katika Database kwa Kutumia Django Admin na Django Shell
Katika somo hili tutajifunza njia mbili muhimu za kuongeza data kwenye database katika project yetu ya pybongo (app: menu). Njia hizi ni: Kutumia Django Admin Kutumia Django Shell Utafahamu pia jinsi ya kusajili models kwenye admin, jinsi ya kuingia admin panel, na namna ya kutengeneza entries mpya za MenuItem.
Locked
Matumizi ya Python shell
Katika somo hili, tutajifunza: Maana ya Python shell na umuhimu wake. Tofauti kati ya shell na terminal ya kawaida. Matumizi ya shell, hususan kwenye Django. Amri muhimu zaidi za Python shell, zilizotokana na models na views zako za pybongo.
Locked
Jinsi ya Kuboresha Django Admin
Katika somo hili tutajifunza mambo matatu muhimu ya kuboresha admin ya Django: Jinsi ya kubadili header za Django Admin Jinsi ya kuongeza columns zinazojitokeza kwenye admin list Jinsi ya kuweka limit ya rows zinazoonekana kwa kila ukurasa (pagination)
Locked
Kufanya Mahesabu (Aggregations) Katika Django
Katika somo hili tutajifunza jinsi ya kutumia Django ORM kufanya mahesabu mbalimbali kama Sum, Avg, Count, Max, Min, pamoja na kupunguza idadi ya items zinazoonekana kwenye dashboard (LIMIT). Pia tutajifunza namna ya kutengeneza “difference” kati ya thamani kubwa na ndogo bila kubadilisha functions zozote ulizokwisha ziandika.
Locked
Hashing na Encryption kwenye Django
Katika somo hili tutajifunza: Tofauti kati ya hashing na encryption Jinsi ya kufunga packages muhimu Jinsi ya kufanya hashing kwa maneno ya kawaida (mfano “bongoclass”) Jinsi ya kufanya encryption na decrypt kutumia Fernet Jinsi Django inahash password kupitia User model Mazoezi ya vitendo
Locked
Jinsi ya kutuma email kwenye django
Katika maeneo ya development, tunahitaji kutuma email mara nyingi kwa madhumuni ya: Kujaribu mfumo wa OTP Password reset System notifications Activation codes Lakini mara nyingi hatutaki emails ziondoke kwenda kwa watu halisi wakati bado tupo kwenye majaribio.
Locked
Kupakia picha (upload) na kuisoma kutoka kwenye database
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kushughulika na faili, kama ku upload faili kwenye django.
Locked
Lifetime Access
Learn Anywhere
Verify Skills

Get Started

Unlock Full Access

Join this course to access all video lessons, source code, quizzes, and track your learning progress.

Status Enrollment Open
Total Students 1.2k+
Sign In to Start Learning