PHP - full course

60 Lessons
16 Topics
Author: System
4.8 (120 Reviews)
Unlock Full Course Access

Please login or register to access all lessons, track your progress, and earn certificates.

Course Curriculum

1
php ni nini?

Ili tuweze kuelewa zaidi course hii ya php, inatupasa kwanza tujuwe maana yake.

15 min Video
2
PHP inafanyaje kazi?

Baada ya kujifunz amaana ya PHP sasa tutajifunz ajinsi inavyofanya kazi.

15 min Video
3
Ni zipi kazi za PHP

Katika somo hili utakwenda kujifunz akuhusu kazi za PHP

15 min Video
4
Jinsi ya ku install PHP kwneye kifaa chako

Kwanza tujifunze kuandaa kifaa chetu kwa ajili ya kujifunzia

15 min Video
5
Faili la PHP

Sasa tujifune jinsi ambavyo faili la PHP linavyokuwa

15 min Video
6
Syntax za kuandika PHP

Katika somo hili utajifunza sheria za uandishi wa code za PHP

15 min Video
7
Variable na sheria zake

Katika somo hili itakwend akujifunz akuhusu variabl ena sheria za uandishi wake.

15 min Video
8
Constants Katika PHP

Somo lililopita tulijifunz akuhusu variable, sasa hapa tunakwenda kusoma kuhusu constant

15 min Video
9
Aina za Data Katika PHP

Sasa tuzijuwe aina mbalimbali za data

15 min Video
10
Jinsi ya kubadili aina mbalimbali za data

Hapa tutajifunza namna ambavyo utaweza kubadili data kutoka aina moja kwenda aina nyingine

15 min Video
11
Function katika PHP

katika somo hili utakwend akujifunz akuhusu function na kazi zake

15 min Video
12
Baadhi ya Built-in Functions za Strings na Integers Katika PHP

Hii ni mifano ya function za string na integers.

15 min Video
13
PHP array

Katika somo hili utakwend akujifunza mengi kuhusu array katika PHP

15 min Video
14
Operator kwenye PHP

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu jinsi ya kutumia operator kwenye PHP

15 min Video
15
Conditional Statements Katika PHP

Katika somo hili utakwend akujifunza Conditional Statements Katika PHP

15 min Video
16
Switch Case katika PHP

Hii ni aina nyingine ya condition statement ambayo ni mbadala wa if else, elseif

15 min Video
17
For Loop katika PHP

hii ni katika condition statement ambazo zinafanya kazi kwene loop

15 min Video
18
While Loop katika PHP

Katika somo hili utakwenda kujifunza aina a loop inayoitwa While Loop katika PHP

15 min Video
19
Jinsi ya kusoma tarehe na saa

Katika somo hili utakwenda kujifunza matumizi ya tarehe na saa

15 min Video
20
Baadhi ya function zinazohudu tarehe na saa

Somo hili litakuletea orodha ya function ambazo zinafanya kazi kwneye tarehe na saa

15 min Video
21
Global variables kwenye php

Katika somo hili utakwenda kujifunza aina mbalimbali za global variable

15 min Video
22
Html form - kutuma na kupokea data kwa kutumia global variable

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutumia global variable kutuma na kupokea data za fomu ya html

15 min Video
23
Matumizi ya supper global za session na cookie

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu supper global variable za session na cookie na vipi hutumika kuhifadhi data.

15 min Video
24
Vipengele vya cookie na session

Ktika somo hili tutakwenda kujifunza zaidi kuhusu vipengele muhimu kwenye cookie na session

15 min Video
25
Jinsi ya ku upload faili

katika somo hili utakwenda kujifunza kupakia (upload) faili

15 min Video
26
Matumizi ya uperglobal variable ya PHP inayoitwa $GLOBALS

Kaika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza global variable kutoka kwenye variable za kawaida

15 min Video
27
Tofauti kati ya global, $GLOBALS, na define() katika PHP

Katika somo hili utajifunza kuhusu tofauti ya global keyword Superglobal variable $GLOBALS Na define() kwa kutengeneza constant (thamani zisizobadilika)

15 min Video
28
Kazi za Kawaida za Tarehe katika PHP (PHP Date Functions)

Katika somo hili utakwenda kujifunza utaratibu wa kuandika tarehe na saa kwenye php

15 min Video
29
Local Time na Timezones katika PHP

Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu Local Time na Timezones katika PHP

15 min Video
30
Kazi na Umuhimu wa Unix Timestamp katika PHP

Katika somo hili utakwenda kujifunz akuhusu Kazi na Umuhimu wa Unix Timestamp katika PHP

15 min Video
31
MySQL na Jinsi ya Kuunganisha na PHP

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu php na database, hasa utajifunza jinsi ya kuunganisha php na database

15 min Video
32
Kutuma na Kupokea Data kutoka Database kwa PHP (MySQLi)

Hapa utajifunza namna na hatuwa za kupitia ili kutuma na kupokea data kwenye database

15 min Video
33
Kutuma Data kutoka Fomu ya HTML kwenda MySQL kwa kutumia PHP

Hapa utajifunza kutumia html form kwenye kutuma data kwenda kwenye database

15 min Video
34
Kurekebisha (UPDATE) Data katika Database kwa kutumia PHP na MySQLi

Hapa utajifunza kuhariri taarifa zilizokuwa tayari zimehifadhiwa kwenye database

15 min Video
35
Kufuta Data Kutoka MySQL kwa PHP

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kufuta data kwenye database kw akutumia php

15 min Video
36
Kuunda Mafaili, Folders, na Subfolders kwa PHP

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kushuhulika na ma faili na mafolda kwa kutumia php

15 min Video
37
Kufuta Files, Folders na Subfolders kwa PHP

Sasa tuone jinsi ya kuweza kukaguwa uwepo wa faili na folda kisha tulifute kama lipo

15 min Video
38
Kuangalia Mafaili Ndani ya Folder na Kusoma Yaliyomo kwa PHP

Hasa hapa tutajifunza jinsi ya kuangalia uwepo wa mafaili kwenye ma folda, kisha kuweza kuyasoa maudhui ya mafaili hayo.

15 min Video
39
Kukopi na Kuhamisha Mafaili na Folders kwa PHP

Katika hatuwa hii tutajifunza jinsi ya kudili na mafaili kwa kukopi na ku move faili zima kutoka directory moja kwend adirectory nyingine.

15 min Video
40
Kutengeneza File Manager Rahisi kwa PHP

atika somo hili, tutajifunza jinsi ya kuunganisha maarifa yote kutoka masomo yaliyotangulia ili kutengeneza mfumo mdogo wa kuangalia mafaili, kusoma yaliyomo, na kuhamisha au kufuta mafaili kwa kutumia PHP pekee.

15 min Video
41
Jinsi ya ku-upload faili kwa kutumia PHP na kuhifadhi taarifa zake kwenye database

Somo hili litakufundisha jinsi ya kuweza ku Jinsi ya ku-upload faili kwa kutumia PHP na kuhifadhi taarifa zake kwenye database.

15 min Video
42
Usalama wa Data kutoka kwa Mtumiaji (User Input Validation & Sanitization)

Katika somo hili utakwenda kujifunza vipengele vya kiusalama, na jinsi ya kuweza kulinda taarifa na data zinzotumwa .

15 min Video
43
Kuzuia SQL Injection katika PHP

SQL Injection ni moja katika njia ambazo hutumiwa katika kudukuwa website na blog.

15 min Video
44
Kuzuia XSS (Cross-Site Scripting) katika PHP

Katika soo hili utajifunza Kuzuia XSS (Cross-Site Scripting) katika PHP na hatari yake kweye program

15 min Video
45
Usalama wa Session katika PHP (Session Security)

Hapa utajifunza jinsi ya kulinda zaidi usalama wa data zinazoingia na kutoka kwa kupitia session

15 min Video
46
Usalama wa Faili katika PHP (File Security)

Sasa tujifunze jinsi ya kuweza kulinda usalama wa mafaili wakati wa ku upload.

15 min Video
47
Usimbaji (Encryption) na Hashing katika PHP

hashing na encryption ni moja katika njia za kuimarisha usalama kwenye program

15 min Video
48
Misingi ya Hashing katika PHP

Katika somo hili, tutajifunza kwa undani kuhusu hashing — jinsi ya kutengeneza hash, tofauti za hashing methods, na jinsi ya kufanya hashing salama kwa nywila za watumiaji.

15 min Video
49
Symmetric Encryption

Katika somo hili tutajifunza namna ya kutumia encryption ya funguo moja (symmetric encryption) kwa kutumia openssl_encrypt() na openssl_decrypt().

15 min Video
50
Asymmetric Encryption

Katika somo hili tutajifunza kuhusu Asymmetric Encryption – aina ya encryption inayotumia funguo mbili tofauti: public key kwa kusimba data na private key kwa kufungua data.

15 min Video
51
Hashing katika PHP – Kuhifadhi Passwords na Uthibitisho

Katika somo hili tutajifunza kuhusu hashing — mbinu muhimu sana ya usalama, hasa kwa kuhifadhi password za watumiaji kwenye database.

15 min Video
52
Encryption na Hashing ya Data Mbalimbali katika PHP

Katika somo hili tutajifunza tofauti na matumizi ya encryption na hashing kwa data mbalimbali kama files, ujumbe, na data nyingine, tofauti na password pekee.

15 min Video
53
Utangulizi wa OOP, Classes na Objects katika PHP

Hapa tutajifunza kuhusu mtindo mpya wa kuandika code kwa kutumia object oriented programming

15 min Video
54
Access Modifiers katika PHP OOP (public, private, protected)

Katika somo hili utajifunza ky work muhimu kwenye oop ambazo ni public, private, protected

15 min Video
55
Constructor na Destructor katika PHP OOP

Hapa utajifunza nadharia ya Constructor na Destructor katika PHP OOP

15 min Video
56
Inheritance (Urithishaji) katika PHP OOP

Katika somo hili utajifunza kuhusu Inheritance (Urithishaji) katika PHP OOP

15 min Video
57
Polymorphism katika PHP OOP

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Polymorphism katika PHP OOP

15 min Video
58
Abstract Classes na Interfaces katika PHP

Hapa tutajifunza kuhusu nadharia ya Abstract Classes na Interfaces katika PHP

15 min Video
59
Traits katika PHP – Kuongeza Uwezo wa Reusable Code

Katika somo hili, tutachambua kipengele muhimu cha OOP katika PHP kinachoitwa Trait. PHP Traits zinaleta njia mbadala ya code reusability pale ambapo multiple inheritance haiwezekani.

15 min Video
60
Kutuma Barua Pepe kwa Kutumia mail() Function katika PHP

Katika somo hili, tutajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kutuma email kwa kutumia PHP function mail().

15 min Video

Ready to start learning?

Join thousands of students who are advancing their careers with BongoClass

Enroll Now