Hapa utakwend akujifunz amaana ya API na aina zake
Katika somo hili utakwenda kujifunza aina za web API na tofauti zao
Katika somo hili utakwend akujifunz amchakato mzima wa jinsi API zinavyofanya kazi
Hapa utajifunz akuhusu code za kujulisha majibu kutoka kwenye API
Katika somo hili utakwenda kujifunza mambo ya msingi ya kuzingatia kabla ya kutengeneza API.
Tutakwend akuandaa plan kwa ajili ya project ya CRUD kwa kutumia API
Baada ya kuijuwa plan ya project yetu, sasa ni muda wa kuandaa database.
Hapa utakwenda kujifunza maandalizi ya kuandika API
Katika somo hili utakwenda kujifunz ajinsi ya kuandika API kwa ajili ya kusajili mtumiaji
Hapa tutakwenda kuona API nzima kutokana na somo lililotangulia.
Katika somo hili utakwend akujifunz ajinsi ambavyo utaweza kutuma data kwneye API
Katika somo hili utakwend akujfunz ajinsi ya ku login kwa kutumia API.
Tutakwenda kuitumia API hii kwa ajili ya kuusoma taarifa za Mtumiaji.
Hapa tutakwend akutengeneza API ambayo itatumia PUT method ili ku edit taarifa za Mtumiaji
API hii itatumia userid ili kufuta taarifa za Mtumiaji.
Utajifunz akutumia cURL kwneye API ya GET method
Jinsi ya kutuma data za POST method kwenye API kwa kutumia cURL
Hapa utajifunza maana ya API token na matumizi yake.
Hapa nitakutajia njia ambazo hutumika kutuma API token
Somo hili litafundisha jinsi ya kutumia aina nne z akutuma API token
Hapa utajifunza maana ya Json Web Token na jinsi ya kuitengeneza
Katika somo hili utakwenda kujifunza namna ambavyo json token inaweza kutumiwa kwenye API. na pia utajifunza jinsi ya ku verify json token.
Hapa tutakwenda kujifunza kutumia JWT katika API yetu kudecode na ku verify kisha kutumia data zilizomo kwneye jwt kama user_id.
Haya ni mambo ya kuzingatia kulinda usalama wa API
Ktika somo hili utakweda kujifunza jinsi ya kutengeneza project ya firebase
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ambavyo utaweza kuweka batani ya Google kwa ajili ya ku login kwenye project
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutumia PHP na MySQL ili kuwez aku login ama ku register
Join thousands of students who are advancing their careers with BongoClass
Enroll Now