Jinsi ya kujiandaa kuanza course ya web app
Jifunze baadhi ya misamiati na teknolojia zinazotumika katika web App
Hapa utajifunza mahusiano ya html, css na javascript zinavyoweza kufanya kazi kwa pamoja
Jifunze nafasi ya PHP kwenye Web APP
Hapa utakwend akujifunza concep muhimu kwenye database
Zijuwe command za msing kwenye database
Katika somo hili utajifunza kuhusu jinsi ya kuunganisha mysql database na php
Maandalizi ya somo Tengene4za database iite webApp kisha tengeneza table iite duka weka field 3 anmbazo ni id, jina, gharama, hii ya id iwe auto icrement na jina iwe varchar, na gharama iwe int. Kisha tengeneza mafaili mawili la kwanza kwa ajili ya html f
Katika somo hili utakwendea kujifunza jinsi ya kusoma data kutoka kwenye database jkwa kutumia php na mkysql
Hapa utajifunza hatuwa kwa hatuwa jinsi ya ku edit data kwenye database kwa kutumia php
Hapa utakwend akujifunza namna ya kufuta data kwenye database
huu ni utangulizi kuhusu ajax na kazi zake
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuandika code za ajax
Utajifunza kusoma data kwenye datbase kwa kutumia ajax
Hapa utajifunza jinsi ambavyo utaweza kutuma data kwa kutuia GET method kwenye ajax
Hii inasaidia kutuma form data bila ya ku reload ukurasa.
Hii itasaidia kuweza ku load data ndani ya muda maalumu
Hii ni njia mpya ya kutumia Ajax
Tutakwenda ku fetch data kila baada ya sekunde 1
Hapa tutajifunz ajinsi ya kutumia fetch API kutuma html form data
Routing ni moja katika njia safi za kuandika clean Application
Katika somo hili utakwend akujifunz ajinsi ambavyo tunaweza kuweka data za page kwenye faili moja
Hapa tutaona jinsi ya kudili na dynamic link
Hapa utajifunza jinsi ya kufanya friendly url bila ya kutumia routing
Hapa tutajifunza kw aufupi kuhsu utofauti uliopo kati ya friendly url na routing
Utajifunza maana ya Pagenation, aina zake na mitindo yake
Katika somo hili utajifunza hatuwa kwa hatuwa jinsi ya kuweka pagenation
Katia somo hili utajifunz akuweka pagenation kwneye routing
Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kufanya hashing
Katika somo hili utakwend akujifunza kuficha na kufichua data
Somo hili litakujuza jinsi utakavyoweza kuficha na kufichua media faili kama picha, video, audio, pdf na mengineyo
Katika somo hili utajifunz amatumizi ya cookie
Katika somo hili utajifunz akuhsu library ya cURL
Katika somo hili utajifunz ajinsi ya kutuma email
Hapa utajifunza kuhusu PHP session
Katika somo hili utajifunza kutengeneza mafaili na kuyasoma
Kabla ya kuanza project ni vyema tukajuwa mabo haya
Katika somo hili utajifunza namna ambavyo variable inaweza kusaidia katika kuboresha usalama wa data kwenye program.
Katika somo hili tutakwend akujifunza Ku Validate na Ku Sanitize Aina Mbalimbali za Data
Katika somo hili utajifunz ambinu rahisi za kuzuia bot.
Kwa kuwa ni ngumu kuthibiti usalama wa program, tunahitaji framework kutupunguzia kazi hii
Kama wewe ndio kwanz aunaanza safari hii kuna maneno machache ya ushauri hapa
simple shop app kw akutumia php na mysql
Hii ni project yetu ya pili katika course hii. Project hii ni simple blog yaani blog rahisi.
Huu ni mwendelezo wa project ya simple blog. Project hii inmeongezwa mambo zaidi
Karibu kwneye maneno ya mwisho ya ushauri, baada ya kumaliza course.
Join thousands of students who are advancing their careers with BongoClass
Enroll Now