PROJECT 5 MAFUNZO YA PHP LEVEL 1 KIKOKOTOO CHA UMRI

Katika program hii mtumiaji atatakiwa kuwka mwaka wake aliozaliwa kisha program itamtajia idadi ya miaka yake. 

Kwa mfano mtu akiingiza mwaka 2000 program itafanya 2023 - 2000  = 23 hivyo idadi ya miaka ni 23. unaweza kimodify program hii kwa kutumia function date() ili iweze kuendana na muda, yaani itakuwa inachukuwa muda wa sasa. 

Kuangalia project hii live bofya hapa ama fuata link hii https://www.bongoclass.com/mafunzo/php/P4.php

 

 


    KIKOKOTOZI CHA UMRI:

   


    Weka mwaka uliozaliwa

   

   

 

 

 

$a = $_POST['a'];
$c= date("Y");
$b = $c - $a;
echo "Una miaka $b";?>

 

Kimeandikwa na Rajabu Terehe 2023-02-28