PROJECT 3 MAFUNZO YA PHP LEVEL 1 KIKOKOTOO CHA HESABU

Hii ni project ambayo itakujuza namna ya kutengemeza calculator kwa kuumia php na html. Project hii itakupa mwangaza namna ambavyo html inaweza kushirikiana kwa karibu na php kutengeneza kitu kikybwa zaidi.

KIKOKOTOO CHA HESABU 

Program hii itakuwa inafanya kaz ka ma kikokotozi yaani calculator. Yenyewe itahusika na matendo manne ya hesabu yaani kujumlisha, kuzidisha na kugawanya. Mtumiaji atahitajika kuingiza namba, tendo (+, *, - au /) kisha ataingiza namba nyingine, atabofya submit kisha atapata majibu.

 

Program itakusanya data zake kwa kutumia HTML form kisha itatuma namba atakazoingiza mtu kwenye variable za php. Kwa kutumia switch case utaweza kuchaguw tendo. Tafadhali pitia somo la 10 kwenye mafunzo haya upate kujifunza zaidi kama hujaelewa kuhusu switch case.

Bofya hapa kkuona project hii live ama fuata link hii https://www.bongoclass.com/mafunzo/php/p3.php

 

<html>
<form method="post" action="">
    <label>KIKOKOTOZI:</label><br>
    <input type="number" name="a" placeholder="0"><br>
    <input type="text" name="b" placeholder=""><br>
    <input type="number" name="c" placeholder="0"><br>
    <br><br><input type="submit">
</form>
</html>

 

<?php
$a=$_POST['a'];
$b=$_POST['b'];
$c=$_POST['c'];
$result = "";

switch ($b) {
    case "+":
        $result = $a + $c;
        break;
    case "-":
        $result = $a - $c;
        break;
    case "*":
        $result = $a * $c;
        break;
    case "/":
        $result = $a / $c;
}
?>
<p>
    <input readonly="readonly" name="result" value="<?php echo $result; ?>">
</p>

Kimeandikwa na Rajabu Terehe 2023-02-28