MAFUNZO YA NTML LEVEL 1 SIMPLE HATML WEBSITE

Hii ni website ambayo ni demo kwa ambao wameshiriki mafunzo ya HTML. Mafunzo haya yameendeshwa kwa njia ya simu kwa kutumia App inayoitwa TrebEdit

Unaweza ku host website hii kwenye host yeyote. Tumetowa mafuinzo jinsi ya ku host kwenye somo la mwisho mafunzo ya html level 1. Ili kufunguwa faili hili utatakiwa kuwa na programmya kuweza kufunguwa zip. Uta unzip na kupata mafaili yako.

 

<!DOCTYPE html>
<html lang="en">
<head>
  <meta name="viewport" content="width=device-width, initial-scale=1">
  <meta charset="UTF-8">
  <title>Home Page</title>
</head>
<body style="background-color:lightblue">
<menu style="background-color:violet">
  <a href="android.html"><button>Android</button></a>
  <a href="html.html"><button>Html</button></a>
  <a href="video.html"><button>Video</button></a>
  <a href="contact.html"><button>Contact</button></a>
</menu>
<img src="image/p4.jpeg" width="100%">
<h1><u>Welcome to our website</u></h1>
<p style="text-align:justify">Hii ni website ambayo ni demo kwa ambao wameshiriki mafunzo ya <b>HTML</b>. Mafunzo haya yameendeshwa kwa njia ya simu kwa kutumia App inayoitwa <mark>TrebEdit</mark></p>
<p>Katika mafunzo haya utajifunza mambo yafuatayo:- <br><br>
  HTML:<br>
  <b style="color:red">H</b>yper<br>
  <b style="color:violet">T</b>ext<br>
  <b style="color:yellow">M</b>arkup<br>
  <b style="color:red">L</b>anguage<br>
<p style="background-color:black">
  <i style="color:white">mafunzo haya yamekujia kwa ihsani ya:</i><br><br></p>
<h3 style="text-align:center"><b style="color:black"><a href="bongoclass.com">bongoclass.com</a></b></h3>
</body>
</body>
</html>

 

Kuangalia live demo ya project hii bofya hapa

Kimeandikwa na Rajabu Terehe 2023-02-28