MAFUNZO YA HTML LEVEL 2 SIMPLE HTML WEBSITE

Hii ni project ya pili kuoka katika mafunzo ya HTML level 2. project hii ni website ambayo tumeitengeneza kwa mafunzo ya html level 2.

                       Home Page                    COURSES        EXAMS        PROJECTS        BLOG        CONTACTS             ABOUT US Sisi ni grupu la Fb tunaotoa mafunzo bure juu ya kutengeneza blog na website pamoja na Android App.       WHO WE ARE Sisi ni kundi linalotoa elimu ya Teknolojia bure. Tunafanya hivi kwa kushirikiana na wadau wengine       WHAT WE DO Tunafundisha jinsi ya kutengeneza Website, Blog na Android App. Tunafanya haya bila ya kudai malipo.       KUHUSU SISI     Sisi ni wadau wa teknolojia. Tumejitolea kufundishana na kufahamishana zaidi katika teknolojia hususani katika lugha za kikompyuta. Project hii ni project ya pili katika course yetu ya HTML level ya pili. Tunatarajia katika level ya tatu kuboresha project hii kuwa nzuri zaidi. Unaweza kuangalia project yetu ya kwanza kwenye link ya project hapo juu           Ni matarajio yetu kuwa project hizi ni mja ya njia za kuonjesha maendeleo yetu katika kujifunza. Hatuta ishia hapa. Malengo yetu ni kujuwa zaidi namna ya kutumia lugha za kikompyuta kuweza kufanya mengi. Lengo letu ni kusaidia jamii katika haya tutakayoyasoma. Tunatarajia kutengeneza project ambazo zina malengo ya Kusaidia jamii kwa ujumla.         Tafadhali kama na wewe ni mdau wa teknolojia tunaomba usaidie katika kutuunga mkono kwa mawazo na kifedha kama utakuwa na wasaa.         Welcome All         Masomo haya yamedhaminiwa na bongoclass.com. Tunatarajia kila tutakapomaliza course kuifanyia project. Hivyo project itakayofata baada ya hii tunatarajia iwe na ubora zaidi.     WASILIANA NASI             Email            Youtube            Facebook            Twitter            instra     @bongoclass.com       Ili kuangalia project hii live bofya hapa

Kimeandikwa na Rajabu Terehe 2023-02-28