CRUDE operation kwa kutumia PHP OOP na MySQL database

Katika project hii utakwenda kutumia Object Oriented Programming ili kutumia CDRUDE operation

PROJECT YA CRUDE OPERATION KWA KUTUMIA OOP

Katika project hii utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya CRUDE operation kwa kutumia PHP OOP na MySQL database.

 

CRUDE ki kifupisho cha maneno CREATE, UPDATE, DELETE. haya ni matendo muhimu manne kwenye database. Ili uweze kutumia database ni azima uyajuwe matendo haya. :-

 

Create hii inahusika na kuingiza taarifa kwenye database. Ni sawa na kutumia neno INSERT kama linavyotumika kwenye sql.

 

Update hii inahusika na ku edit taarifa, yaani kuziboresha ama kuzibadili. Ni sawa na kutumia neno UPDATE kwenye sql.

 

Delete hii inahusika na kufuta taarifa kwenye data kwenye database. Ni sawa na kutumia DELETE kwenye sql.

 

Sasa katika project hii nimekuandalia matokeo ya wanafunzi waliofanya mtihani. Sasa tunakwenda kutumia OOP ili kuweza ku access database ili tuweze kufanya matendo hayo matatu yalotaja.

 

Database yetu nimeiita matokeo na table yenye wanafunzi nimeiita majibu. Table ina column tatu ambazo ni id, jina, alama. Id ni primary key na ni auto increment column. Project yetu ina mafaili 6 ambayo ni:-

  1. read.php
  2. edit.php 
  3. delete.php
  4. add.php
  5. Wanafuzi_class.php
  6. style.css

Kimeandikwa na Rajabu Terehe 2023-12-05