BULUGHU AL MARAM KWA KIARABU NA KIINGEREZA

Hiki ni kitabu cha Bulughu al maram kilichoandikwa na Imam Ibn Hajar, na hili ni chapicho la kiarabu na kiingereza.

kitabu hiki ni moja ya kazi kubwa alizoziacha Imam Ibn Hajar. Katika chapisho hili utapata fursa ya kusoma hadithi za Mtume Muhammad (s.a.w) kwa kiarabu zikiwa zimetafasiriwa kwa kiingereza.

 

Kwa wale wasomaji wa lugja ya kiswahili bado hatujapata chapisho la kitabu hiki katika lugha ya kiswahili.

Kimeandikwa na Rajabu Terehe 2023-05-27