ARBAINA NAWAWIY KWA KIARABU

Hiki ni kitabu cha ARBAINA NAWAWIY yaani hadithi 40 zlizochaguliwa na Imamu Nawawi katika mafundisho ya dini.

Kitabu hiki kipo katika lugha ya kiarabu peke. Kama umekuwa ukikitafuta basi hapa nimekuletea chapisho la kitabu hiki katika lugha ya kiarabu. 

 

Kama unataka chapisho hili kwa lugha ya kiswahili pia linapatikana kwenye makataba yetu hii.

Kimeandikwa na Rajabu Terehe 2023-05-27