Wajuwe wanasanyansi na lugha za kompyuta walizoanzisha


image



Hii ni list ya wataalamu wa kompyuta amba ni wagunduzi wa lugha zaidi ya 20 za kompyta.



Katika list hii nimeziwaca lugha ambazo zimeanshishwa na makampuni moja kwa moja kama kotlin, xml na nyinginezo.

  1. python imeanzishwa na   Guido van Rossum
  2. php  imeanzishwa na  Rasmus Lerdorf
  3. java  imeanzishwa na  James Gosling
  4. dart  imeanzishwa na  Lars Bak na Kasper Lund
  5. html  imeanzishwa na  Tim Berners-Lee
  6. javascript  imeanzishwa na  Brendan Eich
  7. c++    imeanzishwa na   Bjarne Stroustrup
  8. c  imeanzishwa na   Dennis M. Ritchie
  9. c#  imeanzishwa na   Dennis M. Ritchie
  10. Go  imeanzishwa na  Robert Griesemer, Rob Pike, na Ken Thompson
  11. swift  imeanzishwa na  Chris Lattner
  12. json imeanzishwa na  Douglas Crockford 
  13. css  imeanzishwa na Håkon Wium Lie na Bert Bos
  14. typescript  imeanzishwa na Anders Hejlsberg
  15. Ruby  imeanzishwa na Yukihiro Matsumoto
  16. Matlab  imeanzishwa na Cleve Moler
  17. R imeanzishwa na Ross Ihaka na Robert Gentleman
  18. SQL imeanzishwa na Raymond Boyce na Donald Chamberlin
  19. scala  imeanzishwa na Martin Odersky
  20. Rust  imeanzishwa na Graydon Hoare
  21. Perl  imeanzishwa na Larry Wall



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Imeandikwa na Rajabu Terehe 2023-11-16 Download PDF Share on facebook WhatsApp

RELATED POSTS

picha

Kuna server side language nyingi ikiwepo java, php, python, dart