Katika somo hili utakwenda kujifunza syntaxy za python yaani sheria na kanuni za kuandika code za python
Kujuwa kanuni ni jambo la kwanza na la msngi zana kwa kila luga ya kikompyuta. Kanuni hizi zitakurahisishia hatua za ujifunzaji na utendeaji kazi wa language hiyo.
Kwanza tutajifunza kuweka comment. Comment ni hint ambazo programmer anaandika kwa lengo la kuelezea mstari wa code na kikundi cha code. Melezo haya huwa komyuta inayapuuza wakati wa ku run program. Yaani comment haikuhsiki katika utendaji kazi wa program.
Kwa ufui unaweza kusema commect ni maelekezo kwa ajili ya programmer lakini code ni maelekezo kwa ajili ya kompyuta.
Sasa kwenye python comment ya mstari mmoja utaiweka kwa kuanza na alama hii # yaani alama ya reli kisha itafuata comment yako.
Mfano
#print hutumika ku dislay text
print("haloo bongoclass")
Code hizi zitakupa matokeo haloo bongoclass na hayo maandikshi yaliofuata baada ya reli hayatahusika kwenye program yetu. Kwa kutumia njia hiyo unaweza ku comment mistari i ngi zaidi angalia mfano hapo chini
#print hutumika ku dislay text
#alama ya reli hutumika ku comment mstari mmoja
print("haloo bongoclass")
Sasa endapo unataka ku comment para graph nzima utatumia alama “”” au alama hizi ‘’’ hizo ni alama za funga semi. Angalia mfano hapo chini:-
"""print hutumika ku dislay text
alama ya reli hutumika ku comment mstari mmoja
print("haloo bongoclass")
"""
print("mafunzo ya python")
Hizo zitakupa matokeo mafunzo ya python na maandisi yote yalobaki ni comment hivyo kompyuta imeyapuuzia. Mfano huo ni sawa na huu hapa chini:-
'''print hutumika ku dislay text
alama ya reli hutumika ku comment mstari mmoja
print("haloo bongoclass")
'''
print("mafunzo ya python")
2. KWENYE KUACHA NAFASI (IDENTATION)
Identation ni ile nafasi inayoachwa mwanzoni mwa code. Sasa python haio kama lugha nyingine ambapo kikundi cha code hutofautishwa na ala ya } hivyo ili inatumia identation.
Angalia code hizi
Code hizo hapo hazina shida. Lakini endapo utawacha nafasi apo itakuelea error. Tofauti na lugha yingine kama php ambazo hazijali uwache nafasi ama usiwache. Jaribu ku run code hizo hapo chini
Hizo hapo hazitafanya kazi kwa sababuumewaca nafasi apo mwanzo. Utapata identation Error
Pia kwenye code block unatakiwa uwache nafasi ili kutofautisha na code block nyingine. Kwa mfano angalia code hizi:
Code hizi tunataka program in display meseji inayosema kweli endapo namba moja ni kubwa kuliko sifuri.
Code hizo hapo hazina shida zitakupa messeji kweli. Ukiangalia vyema code hizo neno print limeanzia mbele kidogo baada ya kuacha nafasi kumaanisha hiyo ni block ya code. Sasa endapo utaanza neno print mwanzoni kabisa hapo haitakubali. Angalia code hiz hapo chini:
Hapo utapata tena identation error
Pia endapo kutakuwa na block zaidi ya moja inatakiwa uwache nafasi zilizo sawa. Kama meacha mbili basi iwe mbili kwa block zote. Ngalia code hizo hapo chini
Hapo kuna shida kwa sababu space iliyoachwa kwenye block ya kwanz ni tofauti na hiyo ya pili. Sasa kutatuwa shida hiyo acha space zilizo sawa.
Hapo itakuwa sawa. Haijalishi umeacha nafasi kwa kiasi gani kubwa ama ndogo, kitu cha kuzingatia ni kuwa ziwe sawa.
Code hizo hapo juu zitatupa matokeo hayo hapo chini:-
3. KWENYE VARIABLE
Kwenye python variable itajulikana tu endapo itawekewa thamani yake yaani value. Ia hutumika alama ya = iki kuipa variable thamani yake. Variable ili ikubaliwe iwe hivi:
Kanuni nyingine tutaziona wakati wa tutakapoifunza kuhusu variable.
4. MATUMIZI YA SEMICOLON (;)
Kwnye pyhon huna ulazima wa ktumia semicolon. Lakini endapo unataka kuunganisha statement zaidi ya moja basi hapo itakubidi utumie. Mfano
print("kweli") print("true")
Code hizo hapo hazipo sawa na uki run zitakuletea error. Ili kutatua hilo unganisha hizo statement kwa kutumia semicolon.
print("kweli") ; print("true")
Hapo sasa zipo sawa.
Mwisho:
Hizo ni baadhi tu ya sheria za uandishi wa python, tutakwenda kujifunza sheria sheria nyingine zaidi kwenye masomo yanayofata. Somo linalofuata tutajifunza jinsi ya kuandika variable na kanuni zinazohusiana na variable.
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Imeandikwa na Rajabu Terehe 2023-10-20 Download PDF Share on facebook WhatsApp