PHP somol la 55: PHP Abstract Class na abstract method


PHP somol la 55: PHP Abstract Class na abstract method


imageKatika somo hili utakwenda kujifunza concept mpya ya abstract class na abstract method kwenye OOP.Abstract class ni nini?

Abstract class ni class ambayo moja katika method zake ni abstract method. Nini sasa abstract method?. Hi ni method ambayo imetajwa tu jina lakini implementation (vitendea kazi vyake) yake hupatikana kwenye child class.

 

Ili kutengeneza abstract class ama abstract method utatumia keyword abstract angalia mfano hapo chini

<?php

abstract class gari{

   abstract public function jina();

   abstract public function tangazo($aina, $speed);

}

 

Utaona hapo kuna abstract class gari, ama abstract method mbili ambazo ni jina na tangazo.

 

Abstract method inaweza kutumiawa zaidi ya mara moja kwenye child class. Yaani unaweza kuwa na child class zaidi ya moja na zote zikatumia abstract method moja. Mambo ya kuzingatia unapotumia abstract method:

  1. Jina la method lazima lifanane
  2. Kama method inahitaji parameter zinatakiwa ziwe sawa ila kwenye child class unaweza kuongeza obtion paameter
  3. Kama umetumia protected modifier basi hata kwenye child class iwe hivyo hivyo ama uondoe kabisa protected iwe public.

 

Angalia mfano hapo chini:-

<?php

 

// Abstract class

abstract class Gari {

   //abstract function

   abstract function tangazo();

}

class post extends Gari {

   function tangazo() {

       echo "Tunauza gari aina zote";

   }

}

 

$news = new post();

$news->tangazo();

?>

Tunauza gari aina zote

&">...Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Imeandikwa na Rajabu Terehe 2023-12-03 Download PDF Share on facebook WhatsApp

RELATED POSTS

picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza concept ya interface na concept
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza ukurasa wa
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza aina za data ambazo hutumika
picha

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuingiza data kwenye dtabase
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kwenye
picha

Katika somo hili utajifunza jinsi ambavyo unaweza kutengeneza blog ambayo
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina za loop DO,
picha

katika somo hili utajifunza jinsi ya ku upload multiple file
picha

Katika somo hili utajifunza kuhusu syntax za PHP
picha

Katika somo hil utawenda kujifunza jinsi ya ku edit post
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuandika function yako
picha

Katika somo hili utajifunza jinsiya kufanya hashing taarifa muhimu kama
picha

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutumia filter_var() function kwa
picha

Katika somo hili utajifnza jinsi ya kufanya prepared statement kama
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia PHP kutengeneza
picha

Katika somo hilibutajifunza maana ya cURL pamoja na matumini yake