PHP -somo la 6: Jinsi ya kusoma saa na tarehe kwenye PHP


PHP -somo la 6: Jinsi ya kusoma saa na tarehe kwenye PHP


imageKatika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma muda kama saa na tarehe kwa kutumia PHPPHP FUNCTIONS KUONYESHA TAREHE NA SAA:
Kwa kutumia php unaweza kuonyesha saa muda wowote kwa kutumia mistari michache ya code.
Katika php function inayotumika kwa ajili yakuonyesha tarehe na saa ni date(). kwa kutumia function hii una hiyari uonyesha tarehetu, ama siku tu, ama saa tu …. Katika php function inakupasa utambuwe haya:-
1.Y humaanisha mwaka yaani Year
2.m humaanisha mwezi yaani Month
3.d humaanisha siku yaani date
4.l humaanisha siku katka wiki
5.h humaanisha saa yaani hour
6.m humaanisha dakika yaani minute
7.S humaanisha sekunde yaani second
8.a humaanisha Ante meridiem (Am) na Post meridiem (Pm)
wacha tuone mifano hapo chini:-

1.Mfano wa kwanza
<?php
echo "today is", "<br><br>",
date("Y/m/d/l");
?>
Hii itakupa mwaka, mwezi, tarehe na siku katika wiki.

Kama unataka kuonyesha mwaka pekee, utaweka Y tu kwenye function

2.Mfano 2
<?php
echo "today is", "<br><br>",
date("Y");
?>
Hii itakupa mwaka tu

3.Mfano
<?php
echo "today is", "<br><br>",
date("m");
?>
Hii itakupa mwez tu


4.Mfano
<?php
echo "today is", "<br><br>",
date("d");
?>
Hii itakupa tarehe ya leo

5.Mfano
<?php
echo "today is", "&">...Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Imeandikwa na Rajabu Terehe 2023-10-18 Download PDF Share on facebook WhatsApp

RELATED POSTS

picha

Huu ni mwendelezo wa mafunzo ya PHP na hapa tunaaza
picha

Katika project hii utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya CRUDE operation
picha

Katika somo hili utajifunza jinsiya kufanya hashing taarifa muhimu kama
picha

Katika somo hili utajifunza jinsi ambavyo unaweza kutengeneza blog ambayo
picha

Katika somo hili utakwenda jifunza jinsi ya kuhesabu row kwenye
picha

Katika somo hili uatakwenda kujifunza jinsi ya kutumia htaccess ili
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia PHP kutengeneza
picha

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuandika while loop kwenye
picha

Katika somo hil utawenda kujifunza jinsi ya ku edit post
picha

Katika post hii utakwenda kujifunza jinsi ya kutuma email kwa
picha

Katika somo hili utajifnza jinsi ya kufanya prepared statement kama
picha

Katika somo hili utajifnza jinsi ya ku upload file kwenye
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ktumia baadhi ya
picha

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu array kwenye php, na
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia taarifa ambazo
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi jinsi ya ku edit