PHP somo la 52: Aina za access modifire na zinavyotofautiana.


PHP somo la 52: Aina za access modifire na zinavyotofautiana.


imageKatika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu access modifier ili kuweza kuthibiti nama ya kuzitumia properties kwenye class.Access modifier zipo katika makundi makuu matatu ambayo ni:-

  1. Public
  2. Protected
  3. Private

 

Public hii inaweza kutumiwa popote, protected hii hutumiwa popote ndani ya class husika ama class iliyotokana na class husika, private, hii hutumka ndani ya class husika tu. ili uelewa hapa angalia mfano huu

<?php

class gari {

    public $jina;

    protected $speed;

    private $transition;

}

 

$toyota = new gari();

$toyota->jina = 'Toyota avalon'; // OK

echo $toyota->jina;

 

$speed = new gari();

$speed->speed = '180k/h'; // ERROR

echo $speed->speed;

 

$transition = new gari();

$transition->transition = 'manual'; // ERROR

echo $transition->transition;

?>

 

Code hizi zina error kwenye speed na transition ni kwa sababu hizo hapo tumezitumia nje ya class gari. Sasa kwa mujibu wa access modifire ili tuweze kui access nje a class lazima iwe public kama ilivyo hapo kwa jina. Lakini speed na transition sio public hivyo hatuwezi kuzitumia nje ya class gari. 


 ">...Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Imeandikwa na Rajabu Terehe 2023-12-02 Download PDF Share on facebook WhatsApp

RELATED POSTS

picha

Katika somo hil utawenda kujifunza jinsi ya ku edit post
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi jinsi ya ku edit
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma muda kama
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza class na
picha

Hapa utajifunza jinsi ya kutengeneza table ambayo tutaitumia kwenye blog
picha

Katika somo hili utakwenda kuona namna ya kutuia if else
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu static method na inavtotumika
picha

Katika somo hili utajwenda kujifunza jinsi ya kuzuia hacking kwenye
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kujusu PHP variable, maana yake
picha

Katika somo hili utajifnza jinsi ya kufanya prepared statement kama
picha

Katika somo hili utajifunza kupangilia data wakati wa kuzisoma kwenye
picha

Katika somo hili utakwend kujifunza kuhusu static property na jnsi
picha

Katika somo hili utajifunza jinsi ya ku connect database, kwa
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia PHP kutengeneza
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kwenye
picha

Katika somo hili utakwenda kujifundisha jinsi ya kutafuta taarifa maalumu