Huu ni mwendelezo wa mafunzo ya PHP na hapa tunaaza rasmi advanced PHP. tutakwenda kuingia ndani zaidi kwenye PHP. Ni vyema kabla ya kuanza course hii ya advanced PHP uwe una uelewa wa kutosha kuhusu mafunzo yetu ya PHP.
OOP ni kifurushi Cha maneno Object Oriented Programming. Huu ni mtindo wa ku code kwa kukusanywa function zote zinazofanana kwenye ukurasa Moja unaoitwa class Ili kueepuka Hali ya kurudis rudia code katika program.
Ili kuelewa vyema ni Nini OOP Wacha kwanza nikufundishe kuhusu programming paradigms.
Je ni Nini programming paradigms?
Hizi ni staili ama mitindo ambayo hutumika na ma programmer katika uandishi wa program. Kila staili ila faida na hasara zake, ia Kila Moja Ina maeneo ambayo inafaa zaidi kutumiwa.
Kuna paradigms zisizopinguwa nne ambazo ni:-
Faida kubwa ya kutumia OOP ni kufanya code zako ziwe DRY yaani Don't Repeat Yourself.
OOP ilianza kwenye PHP toleo la 5. Ina maana kabla ya hapo PHP ilitumia procedural programming tu. Baada ya kuonekana umuhimu wa OOP kama ilivyokuwa ikitukiwa na language zinginezo wakati huo.
Faida za OOP
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Imeandikwa na Rajabu Terehe 2023-11-16 Download PDF Share on facebook WhatsApp