PHP - somo la 45: Jinsi ya kutuma sms kwa kutumia PHP


PHP - somo la 45: Jinsi ya kutuma sms kwa kutumia PHP


imageKatika soko hili takwenda kujufunza jinsi ya kutuma sms kwa kutumia PHP. Hii itasaidia kama unataka kutuma OTP yaqni Onetime passwordKatika somo hili utajifunza jinsi ya kutuma sms kwa kutumia PHP. unaweza kutuma na kupokea sms kwa kutumia PHP ila katika somo hili tutajifunza tu jinsi ya kutuma sms. Kitu cha msingi unachotakiwa kukijuwa ni kuwa kutuma sms  ni gharama kuliko kutuma email. Kwa kuwa kutuma sms utahitajika kuwa na API pamoja na TOKEN. 

 

Kwa nini tunahitaji kutuma sms

  1. Kwa ajili ya kuwataarifu na kuwakumbusha wateja

  2. Kwa ajili ya kutuma OTP

  3. Kwa ajili ya kutangaza biashara yako

  4. Kufanya huduma ya bulk sms

 

Kabla ya kuanza somo hakikisha umefanya yafuatayo:-

  1. Umeshapata API na TOKEN hizi unaweza kuzipata kwa kujisajili kwenye pltform zinazofanya huduma hii. Kuna platform nyingi ikiwemo twilio ambayo ni maarufu sana. Katika somo hili tutatumia sinch unaweza kujiunga kupitia sinch.com utaanza na Free account. Baada ya kujisajili utanunua namba ya kutumia. Kisha utapewa token na Api baada ya hapo njoo tuendelee na somo. 

  2. Hakikisha unatumia PHP version ya 7.4.3 ama zaidi ya hapo. 

  3. Hakukuwa server yako inatumia cURL

 

Baada ya kukamilisha mahitaji hayo utakuwa tayari kuendelea pamoja nami. Kumbuka utakughatimu kiasi cha pesa kukamilisha setting hizo kama kupata namba,  API na token. 

 

Utumaji wa sms kutoka kwenye web

Kuna njia mbili nitakwenda kuzifundisha hapa za kutuma sms kupitia web.  Njia ya kwanza ni kwa kutumia html anchor kwenye link ambayobinafunguwa sms app. Njia hii itatumia sms kwa kupitia simu yako mwenyewe. Njia hii haina gharama za ziada,  yenyewe inatumia bando lako la kawaida. Wala pia haihitaji kujisajili kwenye platform nyinginezo za kupata API na TOKEN. 

 

Njia ya pili ni kwa kutumia cURL ambapo tutakwenda kutumia sinch platform. Njia hii ndio itahitaji API na TOKEN. Njia hiibjna gharama na inatumia sms moja kwa moja kwenye website na sio kupitia sms app. 

 

Kwa kutumia html anchor tag. 

Hapa kwanza tutatengeneza html form ya kuandika ujumbe wetu. Kisha tutaweka ukurasa wa kutumia ambapo mtu atabofya batani ya kutuma. Batani hiyo itakuwa na anchor tag. Anchor tag ni tag hii itakuwa na attribute kama sms ili kuweza kutuma sms pia itakuwa na body ambapo hukaa ujumbe. 

 

 

  1. sms.html

Hii ni html form ambayo itakuwa na input mbili tu ambazo ni namba ya simu, na body ambapo utaweza kuandika sms. Kwenye ndamba ya simu endapo zitakuwa nyingi utatengenisha kwa alama ya (;)

 

 

 

   

   

sms

 

   

 

 

 

   Phone Number

   
 

   Message Body

   

   

 

 

 

sms.php 

Hapa kutakuwa na code za php ambazo zitachukuwa namba ya simu na ujumbe na kuziingiza kwenye anchor attribute. Kisha mtu akibofta neno tuma app ya sms itafunguka ikiwa na ujumbe pamoja na namba za siku. Unachotakiwa ni kutuma kawaida.

$phone_number = $_POST['phone'];

$sms_body = $_POST['body'];

?>

 

 

 

   

   

sms

   

 

 

?&body=">TUMA

 

 

 

 

Kwa kutumia cURL

Hapa sasa ndipo tunakwenda kutumia API, NAMBA, pamoja na PLAN ID na TOKEN. Vitu vyote hivi utav">...Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Imeandikwa na Rajabu Terehe 2023-10-19 Download PDF Share on facebook WhatsApp

RELATED POSTS

picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza aina kuu 3 za variable
picha

Katika somo hili utajifunza kupangilia data wakati wa kuzisoma kwenye
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuandika function za
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku upload mafaili
picha

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuingiza data kwenye dtabase
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku update na
picha

Katika somo hili utajifunza kuhusu cronjob na matumizi yake kwenye
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu function kwenye PHP na
picha

Katika somo hili utajifunza jinsi ya ku connect database, kwa
picha

Katika somo hili utajifnza jinsi ya ku upload file kwenye
picha

Katika somo hili utakwendakujifunza concept ya namespaces na jinsi inavyosaidi
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi jinsi ya ku edit
picha

HApa utakwenda kujifunza sasa namna ya kuzisoma post kutoka kwenye
picha

Katika somo hili utajifunza jinsiya kufanya hashing taarifa muhimu kama
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza class na
picha

Katika somo hili unakwenda kujifunza jinsi y kutengeneza database na