PHP - somo la 4: Aina za data zinazotumika kwenye PHP


PHP - somo la 4: Aina za data zinazotumika kwenye PHP


imageKatika somo hili utakwenda kujifunza aina za data ambazo hutumika kwenye PHPTYPE OF DATA IN PHP:
Kabla ya kuendelea mbele zaidi katika somo la PHP sasa kwanza lazima tujuwe aina za data ambazo tunakwenda kuzitumia kwenye php. Kila taarifa tunayotaka kuitumia aka kuionyesha lazima tujuwe ipo katika aina ipi ya data. Hii itakusaidia wewe katika kupanga actions. Pia katika kuweka fomu za madodoso.

Kwa ufupi katika php kuna aina kuu 7 za data ambazo tutakwenda kuziangalia.
1.Sting
2.Interger
3.Float
4.Boolean
5.Array
6.Object
7.NULL

1.STRING
String ni mkusanyiko wa herufi ama character. Mfano “hello� “I am a student�. Katika PHP string huwekwa ndani ya alama za semi yaani alama za kunukuu ambazo ni “ “. hata hivyo pia unaweza kuchaguwa eidha utumie alama ya kunukuu moja ama mbili mfano ‘ ’ au “ “. mfano wa string kwa alama moja ‘hello’ mfano wa string kwa alama mbili “hello�. pia string inaweza kuwa na mchanganyiko wa herufi, namba na character nyingine. Angalia mifano hapo chini.

2.INTEGER
Aina hii ya data ni zile data zote ambazo ni namba tu. Pia zinatakiwa ziwe namba ambazo hazina desimali. Pia integer zinaweza kuwa nmaba ambazo ni positive ama negative. Kitu cha kuzingatia hapa ni kuwa integer haitakiwi iwe na desimali. Mfano 6353

3.FLOAT
Hizi ni data ambazo ni namba zilizo na desimali ama exponent. Mgano 23.9

4.BOOLEAN
Hizi ni data ambazo hutumika katika kujaribu hali. Hizi zinaitwa condition test. Bolean zipo katika namna mbili ambazo ni TRUE au FALSE.

5.ARRAY
Hizi ni data ambazo zinahifadhi taarifa zaidia ya moja kwenye variable. Kwa mfano inaweza kuzungumzia variable miti kisha ikaendelea kutaja aina za mita ambayo itahusika kwenye variable hiyo moja.

6.">...Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Imeandikwa na Rajabu Terehe 2023-10-17 Download PDF Share on facebook WhatsApp

RELATED POSTS

picha

Katika course hii utakwenda kujifundisha jinsi ya lutengeneza blog kutoka
picha

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kukusanya taarifa ambazo watu
picha

Katika project hii utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya CRUDE operation
picha

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutengeneza system ambayo mta
picha

katika somo hili utajifunza jinsi ya ku upload multiple file
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza aina kuu 3 za variable
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza maana ya PHP na jinsi
picha

Katika ukurasa huu utakwenda kujifunz jinsi ya kuandika code za
picha

katika somo hili utajfunza kukusanya taarifa za mafaili. kisha ku
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza class na
picha

Katika somo hili utakwenda kujifundisha kuhus matumizi ya function kwenye
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina za loop DO,
picha

Katika somo hili utajifnza jinsi ya kufanya prepared statement kama
picha

Katika somo hili utakwend kujifunza kuhusu static property na jnsi
picha

Katika somo hili utakwenda kuona namna ya kutuia if else
picha

Katika somo hili utakwenda kujifundisha jinsi ya kutafuta taarifa maalumu