PHP - somo la 27: aina za variable kwenye PHP


PHP - somo la 27: aina za variable kwenye PHP


imageKatika somo hili utakwenda kujifunza aina kuu 3 za variable katika PHP mabzo ni local variable, global variable na static variable.Kwenye php variable zimegawanyika katika makundi makuu mawili 3. Katika php tunaita variable scope ambazo ni kama:-

Local 

Global

Static

Katika level hii utajifunaza aina zote hizi za variable pamoja na matumizi yakle.

 

Variable ni nini?

Variable ni kitu kinachowakilisha taarifa kwenye program. Ni chombo kinacho beba taarifa fulani. Kwa mfano unaweza kusema X inamaanisha embe, na b inamaanisha dodo. Kisha ukaweka sentensi nipatei embe xb kwa maana embe dodo. Hebu tuone mfano hao chini:

 

Mfano 1

<?php

$x = "embe";

$b = "dodo";

echo "Nipatia $x $b";

?>

 

Hii itakupa matokeo haya


 

Hapo utakuwa umeona namna ambavyo $x na $b zilivyotumika kuwakilisha taarifa na kutengeneza sentensi nzima. Sasa hebu tuone namna ambavyo variable scope zinafanya kazi ama mgawanyiko wa variable.

 

Globe variable: 

Global variable ni variable iliyotengenezwa nje ya function. Variable hii itatumika nje ya function na si ndani ya function. Tutajifunza zaidi uhusu function. Ila unaweza kurejea level 1 mafunzo haya ya php, utajifunza zaidi kuhusu function.

 

Function yenyewe ni block ya code, sasa endapo variable itapewa thamani  nje ya function hii  kutumika nje ya function tu, variable hii itaitwa global variable. Angalia mifano hapo chini

 

Mfano wa function

<?php

 

function hi(){

   echo "haloo bongoclass";

} //mwisho wa function

 

echo hi();

?>

 

Function hii itakupa matokeo haya:-

 

Sasa wacha tuone ni kwa namna gani gobal variable inaweza kutumika nje ya function na si ndani.

 

Mfano

<?php

$x = 'embe'; //$x ni imepewa thamani nje ya cuncton

$b = 'dodo'; //$b na $x ni global variable kwa kuwa ipo nje ya function

function hi(){

   echo "nipatie $x $b"; //$x na $b zipo ndani ya function

}//mwisho wa function

 

echo hi();

?>

Hii itakupa erro kwa sababu global variable haiwezi kutumiwa ndani ya variable. 

Sasa ngoja tuiweke variable nje ya function tuione je itafanya kazi?

<?php

$x = 'embe'; //$x ni global variable

$b = 'dodo'; //$b ni global variable

function hi(){

   echo "halooo"; //$x na $b zipo ndani ya function

} //mwisho wa function

echo hi();

 

//variable $x na $b zipo  nje ya function

echo "Nipatie $x $b"

?>

...Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Imeandikwa na Rajabu Terehe 2023-10-18 Download PDF Share on facebook WhatsApp

RELATED POSTS

picha

Katika somo hili utajifnza jinsi ya kufanya prepared statement kama
picha

Katika somo hili utajwenda kujifunza jinsi ya kuzuia hacking kwenye
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuandika function za
picha

Katika somo hili utajifunza kuhusu syntax za PHP
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu condition statements if, ifelse
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuandika function yako
picha

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kufuta table ya databse
picha

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kufanya sanitization kwenye user
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuandika constant kwenye
picha

Hapa utajifunza jinsi ya kutengeneza table ambayo tutaitumia kwenye blog
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia PHP kutengeneza
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza maana ya PHP na jinsi
picha

Huu ni mwendelezo wa mafunzo ya PHP na hapa tunaaza
picha

katika post hii utajifunza jinsi ya kutengeneza ukurasa wa dashboard
picha

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu array kwenye php, na
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza concept ya iteration kwenye PHP