Katika somo hili utakwenda kujifundisha jinsi ya kutafuta taarifa maalumu kwenye database kwa kutumia PHP
Kuandaa sql kwa ajili ya ku serarch
kwanza utatakiwa kuselect SELECT ikifuatiwa na column ya hiyo iten unayotaka kuisearch kulingana na mfano wetu ni name ikifuatiwa na FROM kisha jina la table kisha WHERE ksiah jina la column ambapo item uayoserarch ipo kisha LIKE kisha hicho unacho kitafuta kama ni ugali ila hakikisha unakiweka ndani ya ‘’ kama string. mfano SELECT Name FROM menu where name LIKE ‘wali%’
Sasa hapa kuna japo alama ya % ikiwa mbele ya hiyo inayosearch (wali%) maana yake unatafuta neno linalomaliziwa na hicho unachoserarch. na ikiwa alama ya % utakaa mwano (%ugali) maana yake unatafuta neno litakaloanziwa na hicho unacho search. na ikiwa alama ya % itakaa mbele na nyuma (%wali%) ya hilo neno unalo search maana yake unatafuta neolo alililoanziwa ama kuishiwa na hicho unachosearch.
Kwa maelezo hayo basi variable ya kusearch ugali inaweza kuwa hivi
$sql = mysqli_query($conn, "SELECT name FROM `menu` where name LIKE '%wali'");
Kiachofuat ni kuandaa table ya HTML kwa ajili ya kupangilia muonekano. Pia andaa variable zako kwa ajili ya ku connect. kama kila kitu kipo sawa code zake zinaweza kuwa kama hivi
<?php
$servername = "localhost";
$username = "root";
$password = "";
$dbname = "hotel";
$conn = mysqli_connect($servername, $username, $password, $dbname);
?>
<style>
table, th, td {
border: 1px solid black;
}
</style>
<table style="width:100%">
<tr>
<th>Name</th>
</tr>
<?php
$sql = mysqli_query($conn, "SELECT name FROM `menu` where name LIKE '%wali'");
while($fetch = mysqli_fetch_array($sql)){
?>
<tr>
<td><?php echo $fetch['name']; ?></td>
</tr>
<?php }?>
</table>
Hii itakupa matokeo haya
Pia kufatuta kwa mtindo wa alphabeti kwa mfano ukasema nataka kuona majina yote yalioanziwa na heruzi u, hapa itakuwa hivi (%u) ama majina yte yalioishiwa na herufi u (u%) ama majina yalioanziwa na u na kuishiwa na i (u%i)
Tutajifunza zaidi kuhusu mada hii kwenye muendelezo wa course ya database. Kwa sasa hapo unachotakiwa ni kufanya mazoezi kwa wingi ili iwe rahisi kuelewa masomo yanayofata..
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Imeandikwa na Rajabu Terehe 2023-10-18 Download PDF Share on facebook WhatsApp