PHP - somo la 17: Jinsi ya kuingiza data kwenye database kwa kutumia PHP


PHP - somo la 17: Jinsi ya kuingiza data kwenye database kwa kutumia PHP


imageKatika somo hili utajifunza jinsi ya kuingiza data kwenye dtabase kwa kutumia PHP.KUINGIZA DATA KWENYE DATABSE

Kwa kuwa katika somo lililotangulia tmezifuta databse ze ztu sasa nitakuba code hapa za SQL ili uweze kutengeneza database na table kisha tutaendelea somo kwa kuingiza data kwenye hiyo databse yako.

 

tengeneza databse iite hotel kisha itengenezee table kwa kupest code hizi hapo chini kwenye uwanja wa SQL. (Rejea mafunzo ya database jinsi ya kutengeneza table)

 

CREATE TABLE IF NOT EXISTS `menu` (

  `id` int(100) NOT NULL,

  `name` varchar(255) NOT NULL,

  `description` varchar(255) NOT NULL,

  `price` int(100) NOT NULL

) ENGINE=InnoDB DEFAULT CHARSET=utf8mb4;

 

MAANDALIZI:

kama tulivyoona hapo mwanzoni kwanza unatakiwa u connect database. Na kuandaa variable zote pamoja na SQL kwa ajili ya kuingiza data. Kama tulivyojifunza katika mafunzo ya databse. tunatumia INSERT INTO ili kuingiza taarifa kwenye databse. (tafadhali rejea mafunzo ya database namna ya kuingiza data kwenye dable). Hivyo $sql variable itakwenda kuwakilisaha SQL statemen t ya kuingiza datada. Hakikisha unahusisha na jina la databse. mfano INSERT INTO menu.

 

jambo linguine unatakiwa ukumbuke majina ya column za table yako. kwani hizo data unazokwenda kuziweka zinaingia kwenye column. table yetu ya menu kama inavyoonekana hapo juu, ina column 4 ambazo ni, id, name, description na price. Yaani ni kuwa tnanakwenda kuweka values kwenye hizo column 4. VALUE ni kile unachokwenda kuweka. Mfano name ukiweka ugali, inamaana value hapo ni ugali. (tafadhali rejea mafunzo ya database jinsi ya kuingiza data). 

 

Kwa mfano tunataka kuweka menu yenye id 1, name Ugali, description iwe karibu ugali mtamu, na price iwe 1500  hivyo SQL variable itakuwa hivi   

$sql = "INSERT INTO menu (id, name, description, price)

VALUES ('1', 'ugali', 'pata ugali mtamu', 1500)";

 

Baada ya hapo utaandaa alert message ili kukujulisha kuwa kazi imefanyika. Kama kawaida tutatumia if else ili kutuambia kuwa kama data imeingizwa itupe meseji “taarifa zimeingizwa kikamilifu” vingineyo ituambie “kuna tatizo” kufanya hivi tutatumia  mysqli_query($conn, $sql)

 

CODE NZIMA ZA KUINGINZA DATA KWENYE TABLE ZITAONEKANA HIVI:

$servername = "localhost";

$username = "root";

$password = "";

$dbname = "hotel";

 

// Create connection

$conn = mysqli_connect($servername, $username, $password, $dbname);

// Check connection

if (!$conn) {

   die("Connection failed: " . mysqli_connect_error());

}

 

// delete database

$sql = "INSERT INTO menu (id, name, description, price)

VALUES ('1', 'ugali', 'pata ugali mtamu', 1500)

";

if (mysqli_query($conn, $sql)) {

   echo "Taarifa zimeingingwa kikamilifu";

} else {

   echo "Kuna tatizo: " . mysqli_error($conn);

}

 

mysqli_close($conn);

?>

   

Hakikisha umeshatengeneza table ya menu kwa kutumia SQL code nilizozitoa hapo mwanzoni mwa somo hili. Kama utakuwa umefanya kila kitu sawa, pest code hizo hao juu kwenye faili la php kisha lifunguwe kwa prowser yako, hakikisha faili lipo kwenye localh">...Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Imeandikwa na Rajabu Terehe 2023-10-18 Download PDF Share on facebook WhatsApp

RELATED POSTS

picha

Katika soko hili takwenda kujufunza jinsi ya kutuma sms kwa
picha

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutengeneza system ambayo mta
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza concept ya interface na concept
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuzungumza na server
picha

Katika somo hili utakwendakujifunza concept ya namespaces na jinsi inavyosaidi
picha

Hapa utajifunza jinsi ya kutengeneza table ambayo tutaitumia kwenye blog
picha

Katika somo hili unakwenda kujifunza jinsi y kutengeneza database na
picha

Katika post hii utakwenda kujifunza jinsi ya kutuma email kwa
picha

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu array kwenye php, na
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kutoka
picha

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kufuta table ya databse
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza ukurasa wa
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kwenye
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu function kwenye PHP na
picha

Katika somo hili utajifunza kupangilia data wakati wa kuzisoma kwenye
picha

Katika somo hili utakwenda jifunza jinsi ya kuhesabu row kwenye