PHP - somo la 15: Jinsi ya kutengeneza table kwenye database kwa kutumia PHP


PHP - somo la 15: Jinsi ya kutengeneza table kwenye database kwa kutumia PHP


imageKatika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia PHP kutengeneza tabale kwenye database ya mysql .Katika somo lililotangulia tumejifunza namna ya kutengeneza database kwa kutumia PHP. Hivyo umejifunza pia namna ya kuandaa variable kwa ajili ya kutumia SQL. Hivyo katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza table. Tafadhali rejea mafunzo ya database  kujikumbusha naman ya kutengeneza table.

 

Maandalizi

Maandalizi ni yale yale tuliokwisha kuyaona. kwanza ni kuandaa variable zinazohusu database, server na password, kisha ijuwe SQL ststement za kutengeneza table, kisha ujuwe ku connect database. Hivyo nitakuorodheshea haya yote ili iwe rahisi kwako.

 

 1. Variable zinazohusu database:

Hapa kuna variable nyingine tutaiongeza nayo ni variable ya kuwakilisha jina la database. Yaani kwa kuwa tunataka kutengeneza table, lazima sasa tuseme table hiyo tunakwenda kuitengenezea kwenye database ipi?. Hivy hapa nitatumia $dbname kunaanisha database name, hivyo kuwakilisha jina la database.

 

katika somo lililopita tulitengeneza databse iliyoitwa hoteli. Hivyo katika somo hili tutakwenda kutengeneza table yenye jina menu katika hiyo database yetu ya hotel. kumbuka jina la server ni localhost, na username ni root. password hakuna, hivyo patakuwa kama palivyo.

 

//kuandaa variable

$servername = "localhost";

$username = "root";

$password = "";

$dbname = "hotel";


 

 1. SQL statement za kutengeneza table

CREATE TABLE IF NOT EXISTS `menu` (

  `id` int(100) NOT NULL,

  `name` varchar(255) NOT NULL,

  `description` varchar(255) NOT NULL,

  `price` int(100) NOT NULL

) ENGINE=InnoDB DEFAULT CHARSET=utf8mb4;

Hii ni table tulioitengeneza katika somo la 9 mafunzo ya database bofya hapa kurejea somo

 

 1. variable za ku connect database

/ Create connection

$conn = mysqli_connect($servername, $username, $password);

 

 1. function kwa ajili ya kuangalia kama kuna tatizo ama umefanikiwa. apa ndipo tunatumia if else statement, kwa ajili ya kueleza kama table imefanikiwa itatuambia “table menu imetengeneza” Vinginevyo itatuambia “kuna tatizo&r">...  Je! umeipenda hii post?
  Ndio            Hapana            Save post

  Imeandikwa na Rajabu Terehe 2023-10-18 Download PDF Share on facebook WhatsApp

  RELATED POSTS

  picha

  Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuingiza data kwenye dtabase
  picha

  Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku upload mafaili
  picha

  Katika somo hili utajifunza jinsi ambavyo unaweza kutengeneza blog ambayo
  picha

  Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu function kwenye PHP na
  picha

  Katika somo hili utajifunza kuhusu syntax za PHP
  picha

  Katika somo hili utajifunza jinsi ya kufuta table ya databse
  picha

  Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kwenye
  picha

  Katika somo hili utakwenda kujifundisha jinsi ya kutafuta taarifa maalumu
  picha

  Katika somo hili utakwend kujifunza kuhusu static property na jnsi
  picha

  Huu ni mwendelezo wa mafunzo ya PHP na hapa tunaaza
  picha

  Katika somo hii utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya CRUDE operation
  picha

  Katika somo hili utakwenda kujifunza aina kuu 3 za variable
  picha

  Katika somo hili utakwenda kujifunza concept ya iteration kwenye PHP
  picha

  Katika somo hili utakwenda kujifundisha kuhus matumizi ya function kwenye
  picha

  Katika somo hili utajifunza jinsi ambavyo utaweza kutengeneza mfumo wa
  picha

  Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu array kwenye php, na