PHP - somo la 14: Jinsi ya kutengeneza database kwa kutumia PHP


PHP - somo la 14: Jinsi ya kutengeneza database kwa kutumia PHP


imageKatika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia PHP kutengeneza database kwenye mysql database.Katika somo hili utajifunza jinsi yakutengeneza database kwa kutumia PHP.

 

 

Katika somo la pili tiliona namna ya kuunganisha databe na PHP.  Katika somo hili tutajifunza jinsi ya kutengeneza database kwa kutumia php. Somo hili linategemea sana somo lililotangulia. hapa tutakwenda kutengeneza database ambayo tutaiita mafunzo. unaweza pia kutengeneza kulingana na unavyotaka wewe.


 

Ili uweze kutengeneza database kwa kutumia PHP kwana unatakiwa ujuwe jinsi ya ku open connection kwenye server na kisha kuunganisha connection hiyo na PHP kama tulivyojifunza somo lililotangaulia. baada ya kukonnect server sasa tutakwenda kutengeneza database.


 

kama ulishiriki vyema somo lililopita utakuwa umeelewa nama ya kuuganisha php na server.

$servername = "localhost";

$username = "root";

$password = "";

 

// kufanya connection

$conn = mysqli_connect($servername, $username, $password);

 

// kuangalia connection

if (!$conn) {

   die("You are not connected: " mysqli_connect_error());

}

echo "You are connected";

?>

 

Kama umeshafika hapo kuna kazi ya ziada unatakiwa uifanya. Kwanza ni kuandaa variable kwa ajili ya kutengeneza database. Pia unatakiwa ujuwe SQL command ya kutengeneza database. rejea mafunzo ya database. Kama mambo yapo kama hivyo wacha nikujuze tena kuwa tunatengeneza database kwenye MySQL kwa kutumia SQL kwa “CREATE DATABASE

” kisha utahiyajika kutaja jina la database unalotaka kutengeneza. Mfano tunataka kutengeneza database inayoitwa mafunzo. hivyo tutasema CREATE DATABASE mafunzo

 

Baada ya hapo unatakiwa utengeneze sasa PHP variable kwa ajili ya kuwakilisha CREATE DATABASE mafunzo Kwa mara nyingi variable inayotumika ni $sql ila unaweza tumia yeyote ile unayotaka mfan ukasema $chai. Kama tayari unaelewa jinsi ya kuandaa variable hapa hutapata shida. hivyo variable yetu itasomeka:-

$sql = "CREATE DATABASE mafunzo"


 

Baada ya hapo kinachofuata ni kuweka meseji kwa ajili ya kutujuza kama database imeshatengenezwa ama laa. kufanya hivi tutatumia if else statemen">...Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Imeandikwa na Rajabu Terehe 2023-10-18 Download PDF Share on facebook WhatsApp

RELATED POSTS

picha

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kufuta table ya databse
picha

Katika somo hii utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya CRUDE operation
picha

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kufanya sanitization kwenye user
picha

Katika somo hil utawenda kujifunza jinsi ya ku edit post
picha

katika post hii utajifunza jinsi ya kufuta post kwenye database.
picha

Katika somo hili utajifunza kuhusu syntax za PHP
picha

HApa utakwenda kujifunza sasa namna ya kuzisoma post kutoka kwenye
picha

Katika somo hili utajifnza jinsi ya kufanya prepared statement kama
picha

Katika somo hili utajifunza kuhusu cronjob na matumizi yake kwenye
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya encryption na
picha

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu array kwenye php, na
picha

katika post hii utajifunza jinsi ya kutengeneza ukurasa wa dashboard
picha

Katika post hii utajifunza jinsi ya kupata taarifa muhimu za
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu function kwenye PHP na
picha

Katika project hii utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya CRUDE operation
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu class inheritance kwenye object