PHP BLOG - somo la 5: Jinsi ya kuandika code za PHP kwa ajili ya kuweka post kwenye blog


PHP BLOG - somo la 5: Jinsi ya kuandika code za PHP kwa ajili ya kuweka post kwenye blog


imageKatika ukurasa huu utakwenda kujifunz jinsi ya kuandika code za php kwa ajili ya kutuma post yetu kwenye blog.tengeneza faili jingine liite post_script.php faili hili litakuwa na kazi ya kupokea data kutoka kwenye faili la post.php kisha kuziingiza data hizo kwenye database. ksha tengeneza folda liite upload tutatumia folda hili kuhifadhi picha zetu

1. kwanza tutaanza na kuinclude fail la confg.php kwa ajlli ya kuunanisha na database.

2. kisha tutatumia $_POST[''] kwa ajili ya kupokea data kutoka kwenye html form

3. baada ya hapo tutatumia $_FILE kwa ajili ya kupokea data za faili la picha

4. baada ya kukusanya taarifa zote muhimu tutaelekea kwenye kuingiza data kwenye database

5. mwisho tuta upload faili kwenye folda la upload. 

 

CODE ZOTE HIZO HAPO CHINI

include "config.php";
if (isset($_POST['submit'])) {
//start code
// form variables
$title = $_POST['title'];
$summary = $_POST['summary'];
$content = $_POST['content'];
$publisher = $_POST['publish">...Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Imeandikwa na Rajabu Terehe 2023-10-20 Download PDF Share on facebook WhatsApp

RELATED POSTS

picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza concept mpya ya abstract class
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu access modifier ili kuweza
picha

Katika somo hili unakwenda kujifunza jinsi y kutengeneza database na
picha

Katika somo hilibutajifunza maana ya cURL pamoja na matumini yake
picha

Katika somo hil utawenda kujifunza jinsi ya ku edit post
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu function kwenye PHP na
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza class na
picha

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuandika while loop kwenye
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kwenye
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku update na
picha

Katika somo hili utakwenda kuona namna ya kutuia if else
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku upload mafaili
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi jinsi ya ku edit
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu static method na inavtotumika
picha

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutuma email kwa kutumia
picha

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu array kwenye php, na