Hapa utajifunza jinsi ya kutengeneza table ambayo tutaitumia kwenye blog yetu
katika somo la pili ntulijifunza jinsi ya kutengeneza database. sasa katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza table. Kumbuka kuwa database yetu inaitwa my_blog. Hivto ingia kwenye database kisha bofya palpoandwa new kisha utakuja uwanja wa kuandika jina la table pamoja na kuweka column. Fuatilia mafunzo yetu jinsi ya kutengeneza table kwenye bdatabase kwenye mafunzo ya database somo la 6 [1]
able yetu itakuwa na column saba ambazo ni
1. id kwa ajili ya kuweka reference ama kama primary key
2. title kwa ajili ya kuandika vichwa vya habari vya post
4. summary kwa ajili ya kuandika muhtasari wa post
5. contente kwa ajili ya kuandika maudhui ya post
6. post_time kwa aji8li ya kuandika muda ambao post ilichapishwa
7. publisher kwa ajili ya kuandika jina la muandishi
8. image kwa ajili ya kuhifadhi taarifa za picha (cover image)
unaweza kufuata maelezo klutoka kwenye mafunzo etu ya databae somo la 6. Ama pest code hizo hapo chini kwenye SQL editor ya mysql
CREATE TABLE `blog` (
`id` int(11) NOT NULL,
`title` varchar(255) NOT NULL,
`summary` varchar(255) NOT NULL,
`content` text NOT NULL,
`post_time` varchar(255) NOT NULL,
`publisher` varchar(255) NOT NULL,
`image` varchar(255) NOT NULL
) ENGINE=InnoDB DEFAULT CHARSET=utf8;
ALTER TABLE `blog`
ADD PRIMARY KEY (`id`);
ALTER TABLE `blog`
MODIFY `id` int(11) NOT NULL AUTO_INCREMENT;
COMMIT;
Mwisho
mapaka kufikia hapa tumesha tengeneza table yetu. Tukutane somo linalofuata tutajifunza jinai ya kuandika ukurasa kwa ajili ya kupost maudhui kwenye blog yetu.
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Imeandikwa na Rajabu Terehe 2023-10-20 Download PDF Share on facebook WhatsApp