PHP BLOG - somo la 2: Jinsi ya kutengeneza database na kuiunganisha kwenye blog


imageKatika somo hili unakwenda kujifunza jinsi y kutengeneza database na kuungansha kwenye blog yetu.Katika mafunzo ya PHP level 2 tulishajifunza jinsi ya ku unganisha database kwa kutumia njia 2 [1]  ambazo ni MySQLi na PDO. Sasa katika somo hili tutakwenda ku tengeneza database pamoja na ku connect. 

Rudia mafunzo yetu endapo utapatwa na changamoto yeyyote kuhusu ku connect database.

 

1. Kwanza tutaandaa variable zitakazotumika kwenye faili letu:

$server_name = "localhost";
$user_name = "root";
$database_name = "my_blog";
$password = "";

 

2. tutaanza na kuunganisha server. Tutatumia function ta mysqli_connect()

$conn = mysqli_connect("$server_name", "$user_name", "");

3. Kisha tutatumia if() ili kunagalia kama tumeunganishwa

if ($conn) {
echo "Umeunganishwa" . '
';
} else {
echo "Hujaunganishwa" . "
";
}

4. baada ya hapo tutaelekea kutengeneza database. Ingia kwenye PHP MYADMIN kwenye sever yako kisha tengeneza database iite my_blog. Pia unaweza kutengeneza database kwa kutumia code za php hapa tutatumia IF NOT EXISTS ili kuangalia kama database haipo ndipo tutengeneze lakini kama ipo hakuna haja ya kutengeneza.

$sql = "create database IF NOT EXISTS $database_name";

 

Mapaka kufikia hapo utakuwa umefanikiwa kutengeneza database yako. Somo linalofuata tutakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza table kwa ajili ya kuweka post. 

 

FULL CODE

//coonnection variable
$server_name = "localhost";
$user_name = "root";
$database_name = "my_blog";
$password = "";

//Unganisha server
$conn = mysqli_connect("$server_name", "$user_name", "");

//Angalia kama server imeunganisha
if ($conn) {
echo "Umeunganishwa" . '
';
} else {
echo "Hujaunganishwa" . "
";
}

//Tengeneza database kama haipo. Hapa tutatumia IF NOT EXIST
$sql = "create database IF NOT EXISTS $database_name";
if (mysqli_query($conn, $sql)) {
echo "Umefanikiwa kutengeneza database " . $database_name . "
";
} else {
echo "Kuna hitilafu";
}
?>

 

MAREKEBISHO:

Ni  vyema kuziondoa code za kutenegneza database ili kupunguza mizigo kwenye server, kwamba kila wakati iwe inaangalia kama database ipo. Hivyo database tutaiweka moja kwa moja wakati wa kuunganisha server.

Hivyo code zote zitaonekana hivi:-

//coonnection variable
$server_name = "localhost";
$user_name = "root";
$database_name = "my_blog";
$password = "";

//Unganisha database
$conn = mysqli_connect("$server_name", "$user_name", "", $database_name);

if ($conn) {
echo "Umeunganishwa"."
";
} else {
echo "hujaunganishwa";
}
?>Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Imeandikwa na Rajabu Terehe 2023-10-20 Download PDF Share on facebook WhatsApp

RELATED POSTS

picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma muda kama
picha

Katika somo hili utajifunza jinsiya kufanya hashing taarifa muhimu kama
picha

Katika somo hili utakwenda kujifundisha kuhus matumizi ya function kwenye
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza concept ya iteration kwenye PHP
picha

Katika somo hili utajifnza jinsi ya kufanya prepared statement kama
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu function kwenye PHP na
picha

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutumia filter_var() function kwa
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kukusanya taarifa za
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia taarifa ambazo
picha

Katika somo hili utakwenda kuona namna ya kutuia if else
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza aina kuu 3 za variable
picha

Katika somo hili utajifunza kuhusu syntax za PHP
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu class inheritance kwenye object
picha

Katika somo hili utajifnza jinsi ya ku upload file kwenye
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza maana ya PHP na jinsi
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kujusu PHP variable, maana yake