KOTLIN somo la 21: Jinsi ta kutengeneza library


KOTLIN somo la 21: Jinsi ta kutengeneza library


imageKatika somo hili utajifunza kuhusu Kotlin library. Pia tutakwenda kutengeneza library yetu wenyewe kwa ajili ya kufanya mazoezi zaidi.Library ni nini?

Library ni mkusanyiko wa maelekezo ya programu, yaani ni yale maelekezo ambayo huamuru kompyuta kuyafuata. Kotlin yenyewe ina library zake. Kwa mfano, wakati tunajifunza kuhusu mahesabu, tulitumia library ya math ambapo tuli import kwa kutumia `import kotlin.math`.

 

Hizi library zipo nyingi na kila moja ina matumizi yake mengi tu. Kwa muda wako, unaweza kuzifuatilia Kotlin library kwenye tovuti yao ya jetbrain, link nimeitoa kwenye somo la kwanza.

 

Jinsi ya kutengeneza library yako mwenyewe.

Ili uweze kutengeneza library, kwanza utatengeneza faili nyingine kisha utalipa jina unalolotaka. Kwa mfano, tutatengeneza faili tutaiita `hesabu.kt`.

 

Ndani ya hilo file mstari wa kwanz akabisa tutatengeneza package name. Kwa mfano library yetu itakuwa kwenye package ya mylib.  Hivyo tutaandika hivi package com.mylib.hesabu

Utaona hapo nmeanza keyword package ikafuatiwa na jina la hiyopackage ambalo ni com.mylib.hesabu baada ya hapo utaanza kuandika code zako library.

 

Sasa, chukulia tunataka library yetu ya hesabu iweze kufanya mambo kama kutafuta eneo la pembe tatu, eneo la mraba, na eneo la trapeza. Tutatumia kanuni za darasa la 5 shule ya msingi. Eneo la pembetatu ni (kimo * kitako) / 2, eneo la mtatili ni (urefu * upana), na eneo la trapeza ni ((a + b) * h / 2).

 

Sasa, kanuni hizi kila moja wapo hapo, tutazitengenezea function yake ili kuweza kufanya kazi husika. Kisha weka code kwenye faili letu tuloliita hesabu.kt

 

package com.mylib.hesabu

 

fun pembeTatu(kimo: Int, kitako: Int): Double {

   return (kimo * kitako) / 2.0

}

 

fun eneoMraba(urefu: Int, upana: Int): Int {

   return urefu * upana

}

 

fun eneoTrapeza(a: Int, b: Int, h: Int): Double {

   return ((a +">...Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Imeandikwa na Rajabu Terehe 2024-02-04 Download PDF Share on facebook WhatsApp

RELATED POSTS

picha

Katika somo hili tutakwenda kuzungumzia kuhusu parameter kwenye Kotlin function.
picha

Katika somo hli utakwend akujifunza kuhusu loop kwenye kOTLIN. Loop
picha

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu method ambazo hutumika kwenye
picha

Katika somo hili tutajifunza method zinazofanya kazi kwenye list data
picha

Katika somo hili utakwend akujifunza maana ya function, jinsi ya
picha

Katika somo hili utajifunza kuhusu historia ya Kotlin pamoja na
picha

Katika somo hili tutajifunza kuhusu method za String zinazotumika kwenye
picha

Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu while loop na do
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu when case na jinsi
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina za data zinazotumika
picha

Katika somo hili tutajifunza kuhusu method na properties za Kotlin
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu namna ambavyo program inaweza
picha

Jinsi ya kuchukuwa user input kwenye Kotlin kwa ajili ya
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu break na continue kwenye
picha

Katika somo hili tutakwenda kuingia ndani zaidi kwenye somo la
picha

Katika somo hili utakwend akujifunz akuhusu operator na aina zake.