KOTLIN somo la 20: method na properties za map


KOTLIN somo la 20: method na properties za map


imageKatika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu method ambazo hutumika kwenye map data typeMap ni ana ya data ambazo zinakuwa na key na value.mfano {jina=bongoclass, umri=5, mmiliki=binafsi, hali=ipo hai}. Hapa jina ni key  na bongoclass ni value. Hivyo hivyo kwenye umri ni key na 5 ni value….

 

Unaweza kutengeneza map kabla ya kuiwek kwneyemchakato, kama nilivyofanya hapo juu. Ama unaweza kuweka data kisha map itatengenezwa wakati program inapo run kama hapo chini. Nimetengeneza map ya website kwa kutumia mutableMapOf.

fun main() {

   val websites = mutableMapOf<String, Any>()

   websites["jina"] = "bongoclass"

   websites["umri"] = 5

   websites["mmiliki"] = "binafsi"

   websites["hali"] = "ipo hai"

 

   println(websites)

}

{jina=bongoclass, umri=5, mmiliki=binafsi, hali=ipo hai}


 

Map properties:

- `keys` hutumika kupata keys za map

- `values` hutumika kupata values za map

- `size` hutumika kupata idadi ya item

- `isEmpty` kuangalia kama map ni tupu

- `isNotEmpty` kuangalia kama map sio tupu

 

fun main() {

   val websites = mutableMapOf<String, Any>()

   websites["jina"] = "bongoclass"

   websites["umri"] = 5

   websites["mmiliki"] = "binafsi"

   websites["hali"] = "ipo hai"

 

   println("keys")

   println(websites.keys)

 

   println("values")

   println(websites.values)

 

   println("size")

   println(websites.size)

 

   println("isEmpty")

   println(websites.isEmpty())

 

   println("isNotEmpty")

   println(websites.isNotEmpty())

}

 

Map methods

- `putAll()` hutumika kuongeza item kwenye map

 

fun main() {

   val website = mutableMapOf("jina" to "bongoclass", "umri" to 5, "mmiliki" to "binafsi", "hali" to "ipo hai")

&">...Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Imeandikwa na Rajabu Terehe 2024-02-04 Download PDF Share on facebook WhatsApp

RELATED POSTS

picha

Katika somo hili tutajifunza method zinazofanya kazi kwenye list data
picha

Katika somo hili tutajifunza kuhusu method za String zinazotumika kwenye
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina za data zinazotumika
picha

Jinsi ya kuchukuwa user input kwenye Kotlin kwa ajili ya
picha

Katika somo hili tutakwenda kujifunza jinsi ya kushughulika na string
picha

Katika somo hili tutajifunza kuhusu method na properties za Kotlin
picha

Katika somo hili utakwend akujifunza maana ya function, jinsi ya
picha

Katika somo hili utakwend akujifunz akuhusu operator na aina zake.
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu when case na jinsi
picha

Katika somo hili utajifunza kuhusu historia ya Kotlin pamoja na
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu namna ambavyo program inaweza
picha

Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu while loop na do
picha

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu set data type pamoja
picha

Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kuandika variable kweye
picha

Katika somo hili utajifunza kuhusu Kotlin library. Pia tutakwenda kutengeneza
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu break na continue kwenye