KOTLIN somo la 19: method na properties zinazotumika kwenye set


KOTLIN somo la 19: method na properties zinazotumika kwenye set


imageKatika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu set data type pamoja na method ambazo hufanya kazi kwenye set.Set zinafanana sana na list ila kuna utofauti katika matumizi, kwanza seti hutumia mabano {}, pia set data zake ni unique yaani haziwezi kujirudia, pia data kwenye set zinakuwa katika aina moja ya data, huwezi kuchanganya namba na string.

 

Katika somo hili tutatumia string ya somo lililopita ili kufanyia mazoezi.

{'bongoclass', 'facebook', 'google', 'youtube', 'microsoft'}

 

Mfano

fun main() {

   val text1: Set<String> = setOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")

 

   println(text1)

}

[bongoclass, facebook, google, youtube, microsoft]

 

Methods zinazotumika:

fun main() {

   val set1 = mutableSetOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")

 

 

   set1.add("github")

   println("baadaya  add(): $set1")

 

 

   val additionalElements = setOf("apple", "orange", "banana")

   set1.addAll(additionalElements)

   println("Baada ya  addAll(): $set1")

 

 

   val elementToCheck = "google"

   println("Contains '$elementToCheck': ${set1.contains(elementToCheck)}")

 

 

   val elementToRemove = "microsoft"

   set1.remove(elementToRemove)

   println("baaday ya remove('$elementToRemove'): $set1")

 

 

   println("kufanya iteration kwa kutumia forEach():")

   set1.forEach { println(it) }

 

 

   set1.clear()

   println("baada ya  clear(): $set1")

}

 

Set operations

Hapa tunakwenda kufanya matendo ya set, hizi ni hesabu maalumu ambazo hutumiwa kwenye set data type. Matendo haya ni:-

- Union

- Intersection

- Subtraction

 

Union hii huhusika na kuunganisha set mbili ili kupata set moja.

 

fun main() {

   val set1: Set<String> = setOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")

   val set2: Set<">...Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Imeandikwa na Rajabu Terehe 2024-02-04 Download PDF Share on facebook WhatsApp

RELATED POSTS

picha

Katika somo hili tutajifunza kuhusu method za String zinazotumika kwenye
picha

Katika somo hili unakwenda kujifunza kuhusu sheria na kanuni za
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu break na continue kwenye
picha

Katika somo hili utajifunza kuhusu historia ya Kotlin pamoja na
picha

Katika somo hili tutajifunza method zinazofanya kazi kwenye list data
picha

Katika somo hili tutakwenda kujifunza jinsi ya kushughulika na string
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu when case na jinsi
picha

Katika somo hili utakwend akujifunz akuhusu operator na aina zake.
picha

Jinsi ya kuchukuwa user input kwenye Kotlin kwa ajili ya
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina za data zinazotumika
picha

Katika somo hili utajifunza kuhusu Kotlin library. Pia tutakwenda kutengeneza
picha

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu method ambazo hutumika kwenye
picha

Katika somo hili utakwend akujifunza maana ya function, jinsi ya
picha

Katika somo hili tutajifunza kuhusu method na properties za Kotlin
picha

Katika somo hili tutakwenda kuingia ndani zaidi kwenye somo la
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu namna ambavyo program inaweza