KOTLIN somo la 16:baadhi ya method na properies zinazofanya kazi kwenye string


KOTLIN somo la 16:baadhi ya method na properies zinazofanya kazi kwenye string


imageKatika somo hili tutajifunza kuhusu method za String zinazotumika kwenye Kotlin.Method ni nini?

Method ni kama function, lakini tofauti ni kuwa method zina uhusiano mkubwa na object. Hapa nitakuletea baadhi ya method za String:-

 

String length

Hii hutumika kujuwa je, string ina herufi ngapi.

fun main() {

   val text = "haloo bongoclass"

   println(text.length)

}

 

Hii itakupa jibu 16, kumaanisha hapo kuna herufi (character) 16.

 

Kubadili herufi kuwa ndogo au kubwa

Kubadilisha kuwa herufi ndogo utatumia toLowerCase na kubadilisha kuwa kubwa utatumia toUpperCase.

fun main() {

    val text1 = "haloo bongoclass"

    val text2 = "HALOO BONGOCLASS"

    println(text1.toUpperCase())

    println(text2.toLowerCase())

}

 

HALOO BONGOCLASS

haloo bongoclass

 

Kuigawa string kwenye (substring)

Kwa mfano, katika neno "bongoclass," tunataka kuchapisha neno "bongo" tu.

fun main() {

    val text = "bongoclass"

    println(text.substring(0, 5))

}

 

bongo

 

Kuchuja string (contains)

Kwa mfano, unahitaji kuangalia kama neno fulani lipo au halipo kwenye string.

Kama lipo, utapata jibu true, na kama halipo, jibu ni false. Wacha tuangalie je neno "class" lipo kwenye neno "bongoclass"?

fun main() {

    val text = "bongoclass"

    println(text.contains("class"))

}

true

 

Kubadili string kuwa list data type (split)

Hapa tutakwenda kuigawa string kwenye mafungu. Kwa mfano, neno "haloo karibu bongo class." Tutagawa kwa kila neno.

fun main() {

 &">...Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Imeandikwa na Rajabu Terehe 2024-02-04 Download PDF Share on facebook WhatsApp

RELATED POSTS

picha

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu set data type pamoja
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu namna ambavyo program inaweza
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina za data zinazotumika
picha

Katika somo hili tutajifunza kuhusu method na properties za Kotlin
picha

Katika somo hili unakwenda kujifunza kuhusu sheria na kanuni za
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu when case na jinsi
picha

Katika somo hili utakwend akujifunz akuhusu operator na aina zake.
picha

Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu while loop na do
picha

Katika somo hili utajifunza kuhusu historia ya Kotlin pamoja na
picha

Katika somo hli utakwend akujifunza kuhusu loop kwenye kOTLIN. Loop
picha

Katika somo hili tutajifunza method zinazofanya kazi kwenye list data
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu break na continue kwenye
picha

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu method ambazo hutumika kwenye
picha

Katika somo hili utakwend akujifunza maana ya function, jinsi ya
picha

Katika somo hili tutakwenda kujifunza jinsi ya kushughulika na string
picha

Jinsi ya kuchukuwa user input kwenye Kotlin kwa ajili ya