KOTLIN somo la 15: ainza za parameter kwenye function


KOTLIN somo la 15: ainza za parameter kwenye function


imageKatika somo hili tutakwenda kuzungumzia kuhusu parameter kwenye Kotlin function. Pia tutakwenda kuona mambo mengine yanayohusu functionPrameter zinatakiwa zifuate utaratibu:

Unapoweka parameter unaziweka kwenye mpangilio, hivyo hata wakati wa kuweka argument unatakiwa ufuate utaratibu huo huo. Mfano kama function ina parameter 2 ya umri na jinsia, basi wakati wa kuweka argument ifuate utaratibu ho huo. Pia unatakiwa kuzingatia na aina zake za data. Kama parameter inahitaji namba wewe unaweka string hapa utasababisha error.

 

fun haloo(umri: Int, jinsia: String) {

   println("umri wako ni miaka $umri na jinsia yako ni $jinsia")

}

 

fun main() {

   println("Andika umri wako: ")

   val umri = readLine()!!.toInt()

 

   println("Andika jinsia yako: ")

   val jinsia = readLine()!!

 

   haloo(umri, jinsia)

}

 

Sasa hapo kama utachanganya mpangilio wa aprameter aina za data utaishia kupata error


 

Unaweza kuwa na default parameter

Default parameter ni parameter ambayo inakuwa umeshawekwa, hivyo mtumiaji wa program hana haja ya kujaza kitu. Kwa mfano katika program yetu ya hapo juu tunakwenda kuongeza parameter nyingine ambayo itaonyesha makazi. Tutaweka Tanzania kama default parameter

 

Ili uweze kuandika default parameter utaiweka ndani ya mabano {} utai declare kwa alama ya ( = ). Mfano {makazi = ‘Tanzania’}

 

fun haloo(umri: Int, jinsia: String, makazi: String = "Tanzania") {

   println("umri wako ni miaka $umri na jinsia yako ni $jinsia unaishi $makazi")

}

 

fun main() {

   println("Andika umri wako: ")

   val umri = readLine()!!.toInt()

 

   println("Andika jinsia yako: ")

   val jinsia = readLine()!!

 

   haloo(umri, jinsia)

}

 

 

Pia unaweza kuweka parameter ambayo sio lazima ijazwe hivyo inakuwa ni optional. Parameter hii inaweza kuwa ni default parameter. Na endapo hutakuwa na default parameter yenyewe itabeba value null kumaanisha haina kitu. Kwa mfano hapo tunataka kuongeza parameter ya kuweka jina la mkoa. Hiyo ttaifanya sio lazima ijazwe yaani option.

 

Ili kuweka optional parameter tutaiweka jina lake kisha utaweka aina yake ya data ikifuatiwa na alama ya ? mfano [String? mkoa]

fun haloo(umri: Int, jinsia: String, mkoa: String?) {

   println("umri wako ni miaka $umri na jinsia yako ni $jinsia unaishi $mkoa")

}

 

fun main() {

   print("Andika umri wako: ")

   val umri = readLine()!!.toInt()

 

   print("Andika jinsia yako: ")

   val jinsia = readLine()!!

 

   print("Andika Mkoa unaoishi: ")

   val mkoa = readLine()

 

   haloo(umri, jinsia, mkoa)

}

 

Hapo kwenye parameter ya unapoishi sikujaza kitu kivyo haikileta chochote, lakini ukijaza italeta, ni kwa sababu parameter ya mkoa ni option sio lazima kujazwa.


 

Required parameter

Pia parameter inaweza kuwa required kuwa ni lazima kujazwa na kama haitajazwa program haiwezi kuendelea kufanya kazi. Kwenye KKotlin parameter zote ni required tofauti na lugha nyingine kama Kotlin ambapo unaweza kus">...Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Imeandikwa na Rajabu Terehe 2024-02-04 Download PDF Share on facebook WhatsApp

RELATED POSTS

picha

Katika somo hli utakwend akujifunza kuhusu loop kwenye kOTLIN. Loop
picha

Katika somo hili tutajifunza method zinazofanya kazi kwenye list data
picha

Katika somo hili tutajifunza kuhusu method na properties za Kotlin
picha

Katika somo hili utakwend akujifunz akuhusu operator na aina zake.
picha

Katika somo hili unakwenda kujifunza kuhusu sheria na kanuni za
picha

Katika somo hili utajifunza kuhusu historia ya Kotlin pamoja na
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu break na continue kwenye
picha

Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu while loop na do
picha

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu method ambazo hutumika kwenye
picha

Katika somo hili utakwend akujifunza maana ya function, jinsi ya
picha

Jinsi ya kuchukuwa user input kwenye Kotlin kwa ajili ya
picha

Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kuandika variable kweye
picha

Katika somo hili tutakwenda kujifunza jinsi ya kushughulika na string
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina za data zinazotumika
picha

Katika somo hili utajifunza kuhusu Kotlin library. Pia tutakwenda kutengeneza
picha

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu set data type pamoja