KOTLIN somo la 14: Aina za function kwenye Kotlin


KOTLIN somo la 14: Aina za function kwenye Kotlin


imageKatika somo hili tutakwenda kuingia ndani zaidi kwenye somo la function. Hapa tutakwenda kuona aina za function.Aina kuu mbii za function:

Function unaweza kuziweka kwenye makundi makuu mawili ambayo ni:

  1. User defined function:

Hizi ni zile ambazo unazitengeneza mwenyewe. Kama tulivyoona somo lililopita jinsi ya kutengeneza function.

  1. Built in function 

Hizi ni zile ambazo zimekuja na lugha yenyewe. Mfano function ya ku print text print() na nyinginezo ambazo zipo ila hujazitengeneza wewe.


 

Aina za function ya kuangalia parameter na return type:

Kawakuwa tumesha jifunza mengi kuhusu function na parameter sasa hapa nakwend akukuletea aina za function ambazo zipo:

 

Aina za function

  1. Function ambazo hazina parameter wala return

Mfano:

fun salamu() {

    print("habari ya muda huu ")

}

 

fun main() {

    salamu()

}

 

 

  1. Function zenye parameter ila hazina return

Mfano:

fun jumlisha(x: Int, y: Int) {

   println(x + y)

}

 

fun main() {

   jumlisha(4, 9)

}

 

  1. Function zenye return ila hazima parameter

fun jumlisha(): Int {

   val x = 4

   val y = 6

   return x + y

}

 

fun main() {

   print(jumlisha())

}

 

  1. Function ambazo zina parameter na return

fun eneo(ur: Int, up: Int): Int {

   return ur * up

}

 

fun main() {

   print(eneo(6, 8))

}

 

 

 

Function ambayo haina jina

Tulishaona kuwa function inatakiwa iwe na jina. Sasa kuna function ambayo yenyewe haina jina ila inaweza kubeba parameter. Function hii inatambulika kama anonymous function  nameless function. Yenyewe inaweza kuwa katika mtindo huu:-

(parameter){

Code

}

 

Mfano:

fun main() {

   val jumlisha = fun(x: Int, y: Int): Int {

       return x + y

   }

 

   println(jumlisha(4, 6))

}

 

Ukiangalia hapo utaona kuwa function yetu haina jina, lakini tumeweza kuitumia kwa kutumia variable.


 

Lambda function 

Huu ni mfuo wa kuandika function  kwa ufupi kw akutumia arrow yaani mshale ( -> ) function hii huitwa arrow function wacha tuone mfano hapo chini. 

Lambda ambayo haina jina:

fun main() {

   val jumlisha: (Int, Int) -> Int = { x, y -> x + y }

 

   println(jumlisha(4, 6))

}

Hapo utapata jibu 10.

fun main() {

    val salamu: () -> Unit = {

        print("salamu sana Mteja")

    }

 

    salamu()

}

 


 

Tunakwenda kutengeneza program kwa ajili ya kubadili mita kuwa kilopita. 

 

Kanuni za kihesabu zinasema kilomita moja ni sawa na mita 1000. Hiyo ili tubadili mita kuwa kilomita itatubidi tugawanye kwa 1000.

 

fun badili(mita: Double): Double {

   return mita / 1000

}

 

fun main() {

   println("andika Mita")

   val mita = readLine()?.toDoubleOrNull() ?: 0.0

">...Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Imeandikwa na Rajabu Terehe 2024-02-04 Download PDF Share on facebook WhatsApp

RELATED POSTS

picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina za data zinazotumika
picha

Katika somo hili utakwend akujifunz akuhusu operator na aina zake.
picha

Katika somo hili utajifunza kuhusu Kotlin library. Pia tutakwenda kutengeneza
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu namna ambavyo program inaweza
picha

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu set data type pamoja
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu when case na jinsi
picha

Katika somo hili tutajifunza kuhusu method na properties za Kotlin
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu break na continue kwenye
picha

Katika somo hili tutakwenda kujifunza jinsi ya kushughulika na string
picha

Katika somo hili utakwend akujifunza maana ya function, jinsi ya
picha

Katika somo hili tutakwenda kuzungumzia kuhusu parameter kwenye Kotlin function.
picha

Jinsi ya kuchukuwa user input kwenye Kotlin kwa ajili ya
picha

Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu while loop na do
picha

Katika somo hli utakwend akujifunza kuhusu loop kwenye kOTLIN. Loop
picha

Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kuandika variable kweye
picha

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu method ambazo hutumika kwenye