KOTLIN somo la 12: Jinsi ya kupata user input


KOTLIN somo la 12: Jinsi ya kupata user input


imageJinsi ya kuchukuwa user input kwenye Kotlin kwa ajili ya kuongeza user interaction kwenye program.User input ni nini?

User input ni kila ambacho mtumaji wa hiyo program atatakiwa kuwasilisha kwenye hiyo program mfano akiulizwa jina, akiulizwa namba na vinginevyo. Endapo atajaza hizo taaifa ndio zinaitwa user input. Kwa ufupi taarifa ambazo unahitaji mtumiaji wa program ajaze kwenye hiyo program ndio huitwa user input.

 

Katika Kotlin ili tuweze kupata user input tutatumia method  ya readLine(), wacha tuone jinsi inavyoweza kufanya kazi:-

 

Mfano:

fun main() {

   println("Andika jina kisha bofya Enter kwenye keyboard yako");

   var name  = readLine();

   println("Jina lako ni ${name}")

}

 

 

Sasa kuna kitu nataka ujijuwe, ni kuwa user input zote ni string data type. Hivyo kama ukitaka kuweka data type kwenye kutengeneza variable utatakiwa kubadili string kuwa hiyo type ya data unayoitaka

 

Mfano:

Tunataka kutengeneza program ya kujuwa umri wa mtu. Program hii itahitaji mwaka aliozaliwa. Akishaweka mwaka aliozaliwa tutachukuwa 2023 - huo mwaka ili tupata idadi ya miaka yeke.

 

Sasa hapa kwanza tutabadilisha tada tulioipata kutoka kwenye readLine() kuwa namba. Wacha tutumie int. Hapa tutatumia function ya readLine()?.toInt() zingatia hapo tumeweka alama ya ?. hiyo hapo inaitwa self call operator hutumika kwa ajili ya ku tumia properties za object.

 

fun main() {

   println("andika mwaka uliozaliwa"">...Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Imeandikwa na Rajabu Terehe 2024-02-01 Download PDF Share on facebook WhatsApp

RELATED POSTS

picha

Katika somo hili utajifunza kuhusu Kotlin library. Pia tutakwenda kutengeneza
picha

Katika somo hili utajifunza kuhusu historia ya Kotlin pamoja na
picha

Katika somo hili tutakwenda kuzungumzia kuhusu parameter kwenye Kotlin function.
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina za data zinazotumika
picha

Katika somo hili tutajifunza kuhusu method na properties za Kotlin
picha

Katika somo hli utakwend akujifunza kuhusu loop kwenye kOTLIN. Loop
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu namna ambavyo program inaweza
picha

Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kuandika variable kweye
picha

Katika somo hili tutajifunza method zinazofanya kazi kwenye list data
picha

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu break na continue kwenye
picha

Katika somo hili tutajifunza kuhusu method za String zinazotumika kwenye
picha

Katika somo hili tutakwenda kujifunza jinsi ya kushughulika na string
picha

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu set data type pamoja
picha

Katika somo hili tutakwenda kuingia ndani zaidi kwenye somo la
picha

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu method ambazo hutumika kwenye
picha

Katika somo hili utakwend akujifunz akuhusu operator na aina zake.