Katika soo hili utakwenda kujifunza kuhusu reserved keywords katika Dart
Keyword ni nini kwenye programming language?
Haya ni maneno ambayo yana maana maalumu kwenye lugha hiyo, hivyo hayawezi kutumika kama identifier kutumika kama jina la variable, class, object ama function.
Hapa nyimi nitakuletea orodha ya hizi keywords
Keywords Table |
|||||
abstract |
else |
import |
super |
as |
enum |
in |
switch |
assert |
export |
interface |
sync |
async |
extends |
is |
this |
await |
extension |
library |
throw |
break |
external |
mixin |
true |
case |
factory |
new |
try |
class |
final |
catch |
false |
null |
typedef |
on |
var |
const |
finally |
operator |
void |
continue |
for |
part |
while |
covariant |
Function |
rethrow |
with |
default |
get |
return |
yield |
deferred |
hide |
set |
do |
if |
show |
dynamic |
implements |
static |
|
|
|
|
|
Mwiisho:
Tutakwenda kujifunza matumizi ya hizi keyword kila tunapoendelea na somo letu. Kwa mfano mpaka kufikia hapa kuna baadhi ya keywords tulisha zitumia kama var, const, dynamic, return na nyinginezo.
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Imeandikwa na Rajabu Terehe 2023-11-18 Download PDF Share on facebook WhatsApp