Asilimia 77.2% ya website zinatumia PHP kama server side.


imageKuna server side language nyingi ikiwepo java, php, python, dart na nyinginezo nyingi. Hata hivyo PHp bado inaedelea kuwa maarufu.Umaarufu wa PHP kama lugha ya programu ya upande wa seva unaonekana kuongezeka tu baada ya muda. Mnamo Agosti 2023 W3Techs iliripoti 77.2%  (-0.2% Q2Q) ya tovuti zote bado zinaitegemea, kupungua kidogo kutoka 78.9% iliyoitumia mwaka wa 2022. Bila kusema, ni wazi kwamba PHP itaendelea kudumisha kutawala kwa lugha nyingi za upande wa seva kwa siku zijazo zinazoonekana., matoleo maarufu zaidi yakiwa PHP 7.4 (50.3%), PHP 7.3 (24.7%), na PHP 5.6 (12.8%), na matoleo yote yaliyosalia yakiwa yamejumuishwa kufikia 12.2%.

 

Umaarufu wa PHP umechangiwa na urahisi wake wa kutumia, upatikanaji wake, ni ni free. Hata hivyo wordpress imechangia kwa kiasi kikubwa sana kwani inakadiriwa kuwa asilimia 43.2% ya website hutumia wordpress. Pia kuna zaidi ya website milioni 810 zinatumia code za PHP.

 

Ukiachilia mbali na umaarufu wa PHP kuna madhaifu mengi ya PHP ukilinganisha na lugha nyingine hasa hizi mpya. Hata hivyo hii haiwezi kufanya PHP kufa kama wengi wanavyodhaniJe! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Imeandikwa na Rajabu Terehe 2023-11-14 Download PDF Share on facebook WhatsApp

RELATED POSTS

picha

Hii ni list ya wataalamu wa kompyuta amba ni wagunduzi