Zoezi la 
1 (a) Ainisha maana ya sunnah kilugha na kisheria.
(b) Ainisha maana ya Hadith kilugha na Kisheria.
(c) Kiutendaji kufuata sunnah ya Mtume (s.a.w) ni kufanya yafuatayo:
(i)___________________
(ii)___________________.
(iii)__________________
(iv)___________________.

2. (a) Kazi ya uandishi wa Hadith mpaka kupata vitabu sita sahihi vinavyotegemewa na Waislamu, imepitiwa na vipindi vine vya historia vifuatavyo:
(i)________________. 
(ii)________________.
(iii)________________.
(iv)________________.

(b) Taja sababu nne zilizopelekea uandishi wa Hadith usishamiri wakati wa Mtume (s.a.w).

3. (a) Isnad ya Hadith ni _______________________________
(b) Matin ya Hadith ni _______________________________
(c) Nukuu Hadith yoyote kisha uoneshe Isnad na Matini ya Hadith hiyo.
(d) Matin ya Hadith itakuwa sahihi iwapo itatekeleza masharti yafutayo:
(i) ______________ 
(ii) ______________.
(iii) ______________
(iv) ______________.
(v) ______________

4. Toa maelezo mafupi juu ya:
(a) Hadtih Nabawiyyi.
(d) Hadith Mutawatir.
(b) Hadith Dhaifu. 
(e) Hadith Qudusiyyi.
(c) Hadith Maudhuu.