HADITHI ZA BABU

Picha ya Hadithi za Babu 13: Vita vya Nyuki na Mchwa
HADITHI ZA BABU 13: VITA VYA NYUKI NA MCHWA

Hadithi iliyopata kusimuliwa zamani, kuhusu Nyuki na Mchwa katika Msitu

Picha ya Hadithi za Babu 12: Hadithi ya Kunguru na Nyoka
HADITHI ZA BABU 12: HADITHI YA KUNGURU NA NYOKA

Hii ni hadithi fupi ya Mfunzo kuhusu watu wenye viburi na kutosikiza ushauri

Picha ya Hadithi za Babu 11: Jogoo na kasuku
HADITHI ZA BABU 11: JOGOO NA KASUKU

Hadithi hii ina sehemu tatu, kila moja ikijaa mafunzo na matukio ya kusisimua.

Picha ya Hadithi za babu 10: Sungura Mpumbavu
HADITHI ZA BABU 10: SUNGURA MPUMBAVU

Hii ni hadithi fupi ambayo inaweza kutoa funzo kuhusu maisha, wakati mwingine unaweza ukajitisha mwenyewe.

Picha ya Hadithi za babu 09: Kibaka wa kijiji part 2
HADITHI ZA BABU 09: KIBAKA WA KIJIJI PART 2

tumeishia kuawa Taji anataka kutaja maovu ya Dhamana na kufichua siri ya utajiri wake. Sasa wacha tuone kilichojiri kwenye kikao

Picha ya Hadithi za Babu 08: Kibaka wa kijiji part 1:
HADITHI ZA BABU 08: KIBAKA WA KIJIJI PART 1:

Hii ni sehemu ya kwanza ya hadithi fupi kuhusu kijana mdogo aliyekuwa kibaka wa kijijini.

Picha ya Hadithi za Babu 07: Pete ya ajabu part 2
HADITHI ZA BABU 07: PETE YA AJABU PART 2

Huu ni muendelezo wa hadithi ya pete ya ajabu, na hii ni sehemu ya pili.

Picha ya Hadithi za Babu 06: Pete ya ajabu part 1
HADITHI ZA BABU 06: PETE YA AJABU PART 1

Hii ni hadithi inayohusu Pete yenye maajabu iliyotuwa katika mikono ya Kijana Lemi

Picha ya Hadithi za Babu 05: Jambazi la Mangoni
HADITHI ZA BABU 05: JAMBAZI LA MANGONI

Hadithi hii inakwenda kuonyesha kwa namna gani jamii inaweza kuwa chanzo na suluhishi kutokana na matatizo ya vijana.

Picha ya Hadithi za Babu 04: Yatima aliye adhibiwa
HADITHI ZA BABU 04: YATIMA ALIYE ADHIBIWA

Hiki ni kisa kilichompata kijana yatima aliyekuwa akidharauliwa. KIsa hiki kinatufundisha mengi katika maisha.

Picha ya Hadithi za Babu 03: Hazina ya Kale
HADITHI ZA BABU 03: HAZINA YA KALE

Hii ni hadithi ya kijana aliyyetunikiw utajiri na kunguru wa zamani

Picha ya Hadithi za Babu 02: Pango lenye Laana ya Moto
HADITHI ZA BABU 02: PANGO LENYE LAANA YA MOTO

Hadithi inayohusu Pango la kale, lenye Hadithi ya kusikitisha.

Picha ya Haditi za Babu 01: Kivuli cha Kutisha
HADITI ZA BABU 01: KIVULI CHA KUTISHA

Hii ni hadithi inayohusi uwepo wa kivuli cha ajabu katika Kijiji. Kivuli hiki kinasadikika kuwa kinakula watu