1. Sisi hakika tumekupa kheri nyingi za daima katika dunia na
Akhera.
2. Ilivyo kuwa umepewa hayo, basi dumisha Sala kwa Mola wako
Mlezi kwa usafi kabisa, na uchinje dhabihu wako kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu
kwa aliyo kupa ya ukarimu, na akakukhusisha wewe khasa kwa kukupa kheri.
3. Hakika huyo anaye kuchukia ndiye aliye katika na kila kheri.