Tarjuma ya Quran Tukufu kwa kiswahili

KWA JINA LA
MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0

1. Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi,
1

2. Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi
Mungu kwa makundi, 2

3. Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha;
hakika Yeye ndiye anaye pokea toba. 3
Imetarjumiwa na Sheikh Ali Muhsin
Al-Barwani
Ikiwa una
ushauri au maoni juu ya tarjuma hii, andika kwa anwani hii qurani-tukufu@geocities.com
Copyright � 22 August 1997, Sheikh
Ali Muhsin Al Barwani