Tarjuma ya Quran Tukufu kwa
kiswahili

KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU
0

1. Kwa walivyo zoea Maqureshi, 1

2. Kuzoea kwao safari za siku za baridi na siku za joto.
2

3. Basi nawamuabudu Mola Mlezi wa Nyumba hii, 3

4. Ambaye anawalisha wasipate njaa, na anawalinda na
khofu. 4
Imetarjumiwa na Sheikh Ali Muhsin
Al-Barwani
Ikiwa una
ushauri au maoni juu ya tarjuma hii, andika kwa anwani hii qurani-tukufu@geocities.com
Copyright � 22 August 1997, Sheikh Ali
Muhsin Al Barwani