Tarjuma ya Quran Tukufu kwa
kiswahili

KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI
WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0

1.
Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia
ameangamia. 1

2.
Hayatamfaa mali yake, wala alivyo vichuma. 2

3.
Atauingia Moto wenye mwako. 3

4. Na mkewe, mchukuzi wa kuni, 4

5. Shingoni mwake iko kamba iliyo sokotwa. 5
Imetarjumiwa na Sheikh Ali Muhsin
Al-Barwani
Ikiwa una
ushauri au maoni juu ya tarjuma hii, andika kwa anwani hii qurani-tukufu@geocities.com
Copyright � 22 August 1997, Sheikh
Ali Muhsin Al Barwani