Tarjuma ya Quran Tukufu kwa
kiswahili

KWA JINA LA
MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0

1. Hakika tumekupa kheri nyingi. 1

2. Basi sali na uchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi.
2

3. Hakika anaye kuchukia ndiye aliye mpungufu. 3
Imetarjumiwa na Sheikh Ali Muhsin
Al-Barwani
Ikiwa una
ushauri au maoni juu ya tarjuma hii, andika kwa anwani hii qurani-tukufu@geocities.com
Copyright � 22 August 1997, Sheikh Ali
Muhsin Al Barwani