Tarjuma ya Quran Tukufu kwa kiswahili

KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU
MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0

1. Kwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyo watenda
wale wenye tembo? 1

2. Kwani hakujaalia vitimbi vyao kuharibika? 2

3. Na akawapelekea ndege makundi kwa makundi, 3

4.
Wakiwatupia mawe ya udongo wa Motoni, 4

5. Akawafanya kama majani yaliyo liwa! 5
Imetarjumiwa na Sheikh Ali Muhsin
Al-Barwani
Ikiwa
una ushauri au maoni juu ya tarjuma hii, andika kwa anwani hii qurani-tukufu@geocities.com
Copyright � 22 August 1997, Sheikh
Ali Muhsin Al Barwani