Tarjuma ya Quran Tukufu kwa
kiswahili

KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU
MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0

1. Naapa kwa Zama! 1

2. Hakika binaadamu bila ya shaka yumo katika khasara,
2

3. Ila wale walio amini, na wakatenda mema, na
wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri. 3
Imetarjumiwa na Sheikh Ali Muhsin
Al-Barwani
Ikiwa
una ushauri au maoni juu ya tarjuma hii, andika kwa anwani hii qurani-tukufu@geocities.com
Copyright � 22 August 1997, Sheikh
Ali Muhsin Al Barwani