
Faida za kiafya za kula Zaituni
- zaituni lina virutubisho kama protini, sukari, fati, pia lina vitamini E, madini ya chuma, shaba, calcium na sodium
- Husaidia katika kulinda mwili dhidi ya saratani na mashambulizi ya vimelea vya maradhi
- Huboresha afya ya moyo
- Husaidia kuboresha afya ya mifupa
- Husaidia katika kudhibiti fati kwenye damu
- Hususha presha ya damu