faida za kiafya za ubuyu

  1. ubuyu una virutubisho kama  vitamini C na B, pia ubuyu una madini ya calcium, chuma, potassium na magnesium. Pia ubuyu una protini na fati
  2. Husaidia katika kupunguza uzito
  3. Husaidia kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu
  4. Hupunguza uwezekano wa kupata maradhi ya saratani na kisukari
  5. Husaidia mwili kupambana na mashambulizi ya mara kwa mara
  6. Huborsha mfumo wa mmeng’enyo wa chakual
  7. Husaidia mwili kujilinda dhidi ya maradhi ya moyo
  8. Hulinda utumbo na tumbo dhidi ya vidonda vya tumbo.